mwarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tsh

    Simba kafieni uwanjani ila Mwarabu imetosha, anapaswa afungwe

    Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana. "NENDENI KAPAMBANENI KUFA" Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake. Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
  2. The Burning Spear

    Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

    Great Thinkers. Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa. Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth. Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
  3. Kijana LOGICS

    Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

    Hizi mechi za AFCON hua naangaliaa kwenye vibanda umiza kwa sababu ya vibe la mashabiki. Mechi ikimuhusisha mwarabu na MTU mweusi mwarabu ni anatukwana sana n'a MTU mweusi. Yani Maneno yavuka mipaka unakua ni uhasama Utani n'a Maneno ya kishabiki yanawekwa pembeni then mwarabu anatukwana...
  4. Suley2019

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  5. V

    Mwarabu kafunga njia Red Sea, meli zinazungukia Afrika, watawala wa dunia wamekwama

    Hakatishi mtu. Kwa amri na utekelezaji wa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. Nia na madhumuni wamesema ni kuzuia usafirishaji kwenda Israel. Lakini kwa sababu baharini huwa ni vurugu mechi, li meli la Ukraine lina bendera ya Tanzania, wafanyakazi wa Uturuki, waendeshaji wa Ufaransa, na mzigo wa...
  6. GENTAMYCINE

    Kocha kimwonekano kabisa anaonekana hamna kitu halafu mnategemea mumfunge Mwarabu kwa Mkapa?

    Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL. Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako...
  7. C

    Hakuna cha sijui 'Bakabaka Day' wala nini, ukweli ni kwamba tumeitwa Zanzibar na Waganga wetu ili tukaroge kwa Kufuru na Mwarabu afe 2/12/2023

    Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo...
  8. C

    Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

    Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba...
  9. C

    Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  10. tutafikatu

    Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

    Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara tu nilipoingia, nilishangaa jinsi nilivyokuwa nimekosea, jinsi karibia kila Mwarabu na Mwislamu...
  11. masai dada

    Ucheleweshaji wa mizigo Bandarini; Mwarabu aanze kazi?

    Wenye experience na vikwazo kama hivi, mliokomaa kiroho kusubiri mzigo mwezi mzima alafu uje ukae bandarini hivi.
  12. Z

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  13. C

    Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  14. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
  15. GENTAMYCINE

    Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

    Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
  16. Lord denning

    Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi. Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi? Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na...
  17. Roving Journalist

    Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  18. GENTAMYCINE

    Endeleeni kujifanya mmejikita katika Mjadala wa Bandari na kuacha suala la ngano na mchele

    Nchi ya Urusi imepanga kuzuia meli kubwa zinazobeba ngano inayotumiwa na nchi nyingi duniani (hasa Bara la Afrika) kutokea Ukraine ambako inalimwa kwa wingi. Sasa GENTAMYCINE nasema jifanyeni hamjui matumizi na umuhimu wa unga wa ngano kwa sisi masikini (Tanzania) ikiwemo. Nchi ya India...
  19. H

    Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

    Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na...
Back
Top Bottom