kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Extrovert24

  Kustaafu kucheza soccer kwa kroos

  Wakuu mambo ni vipi wapenzi wa kabumbu. Huyu Jamaa ni kama Bado anaubonda mwingi sana, kwanini asingeendelea kupiga mbungi??
 2. S

  Aucho: Natamani kucheza na Chama Yanga Sc

  "Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi. Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama Chama tangu nikiwa misri." Aucho aliongea hayo akijibu swali la mwandishi juu ya tetesi za chama...
 3. uhurumoja

  Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

  Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
 4. towashi wa kushi

  Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

  Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara. Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani. League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha...
 5. Maleven

  Kuna wanawake wanajua kucheza na hisia za wanaume

  Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya ku jaribiana jaribiana hayafai
 6. Ileje

  Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

  Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
 7. Frank Wanjiru

  Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

  Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
 8. D

  Mamelodi wanaweza kucheza CAF champions league final na Al ahly kisa FIFA doping rule

  Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo rasmi la CAF tu kucheza na Al Ahly katika CAFCL huku ES Tunis ikishindwa kuwakaribisha Al Ahly katika...
 9. NALIA NGWENA

  TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

  Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu. Na pia nichukue...
 10. G

  Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

  Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
 11. NALIA NGWENA

  Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

  Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
 12. PAZIA 3

  Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

  Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na...
 13. JanguKamaJangu

  Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

  Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
 14. Kichwa Kichafu

  Young Africans inaweza kucheza mpira hata kwenye moto

  Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye Mazingira Yote Na Matokeo Yanakuwa Mazuri. Kwenye Jua Mtu Anapigwa, Kwenye Mvua Mtu Anapigwa, Kwenye...
 15. hydroxo

  Tuwekane sawa jana Simba hawakucheza mpira bali waliruhusiwa kucheza mpira.

  Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira. Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
 16. U

  Sijafurahia kuitwa Kwa wachezaji wa Simba timu za taifa kucheza Bonanza, wanaweza kukosa mechi za caf au kuchelewa kurudi kwenye mfumo wakirudi

  tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly Kuna tetesi Al Ahly wameomba Wachezaji wasijumuishwe Team ya Taifa wabaki wajiandae na club bingwa. Kwa upande wa...
 17. SAYVILLE

  Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

  Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
 18. Labani og

  Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

  MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA" Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga. Mamelodi watakula mnara ✋
Back
Top Bottom