inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Mazao/Mifugo Under rated inaweza kuwa na faida kuliko yale Over rated ambayo wengi hukimbilia

    Asilimia kubwa ya wakulima lazima utukute kwenye mazao yale Over rated yanayo zalishwa na kila mtu. mazao ya jamii kama Mahindi, Mahargwe, Mazao kama Vitunguu, Nyanya, Tikitiki maji, Maembe na kadhalika. Huko utatukuta kwa wingi sana Utatukuta kwenye mifugo kama Kuku labda na nguruwe na Ng'ombe...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

    Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania. Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mizimu inaweza 'kukuona' ukiwa kwenye faragha:"

    wanakuona kwa uwazi kabisa. Lakini upande wa pili hauoni kwa macho ya nyama kama yetu: huona kupitia aura yako, mfumo wa fikra zako, na utofauti wa mwanga. Kwa mtu ambaye tayari ameuacha mwili, wako unaonekana kama umbo la nishati inayong'aa ikitembea gizani." Faragha ni moja ya nyakati ambazo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

    Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume. Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabata Barakuda maji yanasumbua, inaweza kupita wiki 2 hadi 3 bila kutoka

    Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
  7. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, wanawake wakila ndizi pacha inaweza kuwafanya wazae watoto mapacha?

    Habari JamiiCheck, ni upi uhalisia wa madai haya kuwa iwapo mwanamke atakula ndizi pacha atapata ama atakuwa na uwezekano wa kupata watoto mapacha?
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mtakatifu Paulo Mtume Je, Yote Inaweza Kuwa Hadithi Iliyotungwa?

    Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu? Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  14. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa Moja ya Taaluma inayolipa sana kwa sasa.

    Unaweza ukajihoji kuwa ulipoteza muda kupigania taaluma uliyonayo. Vichwa vyenye rutuba inayoweza kustawisha Ujinga vinazidi kuongezeka. Uongo unaweza kuwa moja ya bidhaa pendwa na muhimu kwa uhai wa serikali na viongozi feki. Wanufaika wanapambana kwa kukaza hadi mishipa ya nyoro kama...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Wakili Dickson Matata: Hukumu inaweza kuwa batili, mahakama haikumsaidia mshitakiwa kuwaleta mashahidi wake.

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
  16. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  18. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wakuu kun benki inaweza nikopesha kwa kutumia kiwanja cha 45m x 65m kama collateral?

    Karibuni Nina biashara ,ila nataka kuongeza bidhaa, benki ipi ina sera za kuwapatia wateja mikopo kwa kutumia hata kiwanja?
  19. E

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta inaweza kushuka zaidi kwa kupunguza kodi, tozo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetangaza habari njema kwa watumiaji wa vyombo vya moto na mitambo nchini, kwa kushusha bei za mafuta. Kuanzia Jumatano ya Septemba 2, 2026, bei ya petroli imeshuka kwa Sh102 kwa lita, huku dizeli ikipungua kwa Sh101 kwa...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Liwalo na Liwe. Nadhani leo inaweza kuwa mwisho. Naona imefikia hatua ambayo nakosa uvumilivu. Naweza kumpatia mwingine

    Inawezekana hata ile asubuhi kusema gari haiwaki battery imekufa kabisa ilikuwa ni mbinu na alianza tengeneza mazingira. Huyu demu nina miezi naye miwili tu. Yaani 2 months. Mbali na sisi kutumiana. Maana tumeshanyanduana sana. Hakuna faida nyingine tumepeana zaidi ya wakati flani aliomba...
Back
Top Bottom