Tukio liko mubashara TBC na Upendo tv.
Karibu.
Up dates;
=======
10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa.
Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya...
Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi...
Wadau nimeona hili niwape huku na ninyi mpate kushangaa kama Mimi.
Leo tulipata ugeni nyumbani kuna rafiki yangu jirani yangu anakaa Masaki alinipigia simu nimtafutie kiwanja huku Kigamboni nikapambana nikapata.
Leo amekuja kukagua sasa kaja na wanae wawili mmoja miaka 16 mwingine kama 9 hivi...
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.
Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake.
Baada ya kusimamishwa shughuli...
Habari wanna jf...
Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss...
Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya...
Tunateseka sana wanaume unakuta mdada anatembea harakaharaka huku anakatika makusudi kabisa hii sio sawa.
Tembeeni kwa wastani msinyumbulike sana, yani kule sio kutembea ni kukatika kiuno makusudi.
Kama hamuamini wakulungwa kaeni kwenye malls au restaurants zilizopo pembeni ya barabara...
TANESCO kama kuna mgao wa umeme hapa Mkoani Morogoro basi tutangazoeni tujue ili tukanunue magenereta tu. Kwa muda wa week kadhaa sasa tanesco mmekuwa mkikata umeme karibu mitaa yote kata ya kihonda.
Mathalani kuanzia siku ya ijumaa ya tarehe 18.Dec.2020 kata nzima ya Kihonda haikuwa na...
Habari,
Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia...
Leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji, uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani.
Nimemsikiliza mbunge wa Geita mjini ndugu Costantine Kanyasu kwa kweli anashangaza sana. Nini kimemfanya akurupuke kuanza kutoa maoni kama haya kabla ya uchunguzi?
Nilimsikiliza waziri Jaffo alipopewa kazi yake ya kwanza kuunda tume kuchunguza ubadhilifu halimashauri ya Geita,alisema pesa mil...
Pengine wapo watu hawaelewi maana ya teuzi za mawaziri na namna zinavyoweza kubadilisha mambo.
Ngoja niwaeleze...
Mawaziri ni influencers na watekelezaji wa sera. Sera ndizo zinazoendesha mambo mengi kama sio yote kwenye sekta mbalimbali. Hakuna linaloenda bila ya sera, hivyo sera zikiwa nzuri...
Habari.Mimi naitwa David Benjamin.
NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies.
Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huruu wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini.
Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanya? Utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin? Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje?
Tokea siku ya Jumatano.
Maji hayatoki kwa baadhi ya maeneo hapa Moshi.
Sasa sijajua tatizo ni nini, Na mbona kama kuna tatizo, nyie idara ya usimamizi wa Maji hapa moshi mbona hamtoi taarifa ya kukatika kwa maji kwa siku zote hizo hadi kufikia leo Jumapili ni patupu.
Watu wengine...
WanaJF.
Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza...
Ni wakati sasa wa serikali kutunga sheria rafiki kwa bodaboda wanaofanya kazi maeneo ya mjini kwa kuwatambua na kuwapa utambulisho maalumu ili kuondoa hadha ya kusumbuliwa na askari polisi na askari wa jiji, kwani kwa sasa bodaboda anaweza akakamatwa akalipishwa fani ya zaidi ya laki na zaidi...