Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie...
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki...
Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo...
"One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame".
Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26...
TFF walisema kuwa mechi zilizo salia za ligi kuu zitachezwa muda mmoja ili kuepuka upagwaji wa matokeo. Kwa bahati mbaya, baada ya simu kadhaa, waliamua kuwa michezo ichezwe katika muda tofauti...
Huwa napata tabu sana wajomba wanapokua likizo na kuja kunitembelea mjomba wao huwa wanauliza maswali yasiyokuwa na majibu (majibu yenye ukakasi)
Sana sana maswali wanayatoa kwenye topic ya...
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende...
As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea...
Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.
Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu...
Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa...
Kabla ya hizi simu janja na laptops ambazo zimefanya iwe rahisi ku access internet, tulikuwa tunaenda internet cafe kupata huduma ya internet kwa kutumia computer za meza, tena ni zile zenye...
Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP yanayofanya safari zake Dar- Mwanza-Dar, kuanzia tarehe 9 Juni 2023.
Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo...
ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.
Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai...
Tupo kwenye bus T818 DXJ lililotoka Mbezi saa 6:00 mchana huu kuelekea Morogoro, ukweli ni kwamba dereva ni mtu rough sana
Anaendesha kwa speed ya juu mbaya zaidi akiambiwa kuwa makini na mwendo...
Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood...
Kichwa cha habari chahusika,
Nimejikuta nikapatwa na huzuni kuu mara baada ya jana kutangazwa majina ya waliochaguliwa kada ya ualimu na kutoona jina langu.
Mimi ni muhitimu wa shahada ya ualimu...
Asilimia tisini kama si zaidi ya Watanzania tunapiga mitumba, ndio tunayoweza kumudu. Hatuna viwanda vinavyojitosheleza kwenye sekta hii kiasi cha kuzalisha nguo zenye ubora na gharama nafuu kwa...
Kwema wanajamii, naombeni mbinu ikiwa nina mke na mtoto mmoja. Nipo kwenye duka, saa za kazi ni saa nne mpaka saa kumi na mbili jioni, huo mshahara hauhusiani na kodi ya nyumba.
Naombeni mbinu...
Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo.
Maisha ni magumu, na...
Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu.
Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho...
Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana.
Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda...
Habari wakuu.
Jiji la Arusha linatatizo gani? Viongozi inabidi wajitafakari sijuwi ni wanafanya kazi kwa mazowea (kwa kukaa kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu) au hakuna ubunifu wa kiutendaji...