vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tigo App yangu imedukuliwa, Wengine vipi?

    Siku ya tatu leo , mtandao ya Tigo a.ka MIX by Yass haupatikani, ukitaka kuingia kwenye App ni kama mdukuaji na huwezi fanya transaction. Wenzangu nanyi mnapata changamoto hiyo au mimi bibi yenu pekee?
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu Kwa Dr. Nchimbi na Kujiuzulu Kwa Prof. Malima Kunashahabiana Vipi?

    https://youtu.be/3gY5VgA-BUA?si=Zc6hjZOu27FXtDs4
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vipi ICC kunaendeleaje? Ninawaonya wapinzani, hamtafanikiwa kuiharibu Tanzania kwa maslahi yenu.

    Karata ya mwisho ya wapinzani uchwara wa Tanzania ilikuwa kuleta vurugu ili jeshi ipindue serikali ya Rais Samia. Mwanajeshi wa Tanzania kuanzia yule junior afisa kabisa mwenye nyota moja mpaka CDF si watu wa kuokoteza mitaani kama wanavyorecruit kwenye nchi zingine. Ukimwona mwanajeshi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nadili vipi na huyu mzungu msumbufu asietaka kulipa deni langu.

    As salaam alaykum Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea. Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine akapata GPA 2.7, afanyeje kuendelea na masomo bila kurudi nyuma?

    Habari, naombeni ushauri..... Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine lakini alipata 2.7 GPA badala ya 3 amabyo inamuwezesha kuendelea na Degree yoyote katika course za afya. Kutokana na GPA yake kuwa ndogo, ameshindwa kuendelea na masomo ya juu. Pia chuoni kwake hawaruhusu kurudia...
  8. shonkoso

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ingefaidika vipi wakati nchi ikipinduliwa, jeshi ndo huchukua nchi

    Tuchukulie kwa mantiki ya hoja, bila kuamua kwanza kama tuhuma hizo ni za kweli au za uongo. Ikiwa kweli CHADEMA ingekuwa imepanga kuipindua Serikali, swali muhimu sana ni: CHADEMA INGEPATA FAIDA GANI?Kwa sababu kuipindua Serikali hakumaanishi kwamba CHADEMA moja kwa moja ingeichukua...
  9. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Je, tunaepuka vipi kifo cha Utambulisho wetu kidijitali? Uchambuzi - barabara na reli hazitatoshi kulinda Taifa.

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  10. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  12. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, wakamalia vipi hapa nitatoboa?

    Hizi ni mechi za leo juma tano tarehe 26 / 8 , mkeka wangu nimejibwaga kama hivyo . mnaonaje wakuu je nitatoboa? hii ni straight win. Real Madrid — WIN Lyngby — WIN Gagra — WIN AEK Athens — WIN Halmstads — WIN Al Ahli — WIN Teplice — WIN Everton — WIN VSK Aarhus — WIN Flora...
  13. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Vipi kesho tukaambiwa hana nia ya kuendelea na kesi ilikuzima hili la leo

    Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
  14. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Maisha Bila Mazoezi: Mnakabiliana Vipi na Stress?

    Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na 1.Msongo wa mawazo na sonona 2.Tatizo la nguvu za kiume 3.Kusosholaizi na watu 4.Ukakamavu 5.Credibility Mnaishije???????
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tone tone ya Chadema imekwama? Na vipi ile ya CHAUMMA?

    Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu. Ni wazi chama kimewashinda. Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezakana vipi meli kongwe MV liemba kukarabitiwa kwa Billion 34 si mngenunua mpya?,aibu hiii

    Aisee ni aibu zaidi ya aibu.Hii nchi alafu msigwa anajisifia kabisa
  19. R

    JamiiForums Tanzania Zambia vipi huko, any clue?

  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
Back
Top Bottom