Watanganyika wengi waliamini ndo wakati wa kuchukua nchi yao. Wendawazimu kabisa hawa. Waliamini ni wakati wa nchi kumilikiwa na kufaidisha wote.
Kama Samia asingeruhusu yale mauaji makubwa toka Tanganyika iundwe nadhani kwa sasa nyie machogo mngekuwa huru na nchi mkitaka kuiendeleza mtakavyo...
Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani
Hii haiwezekani.
Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi.
Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi.
Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi.
Hawataki awe kiongozi wao...
https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh
Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya:
1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara?
2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini.
Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo.
Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai.
Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je...
Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai.
Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf.
Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao.
Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa
Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao
Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni...
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara.
Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana.
Mtoto wako na...
Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!.
Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!.
Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu Oktoba 29!!.
Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi.
Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo.
Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria huku Tanzania Bara ikitumika kama sura ya Tanganyika ndani ya Muungano?
A. Kuhusu utambulisho wa...
Naomben Mkumbushe Bashungwa, kua yake Mauaji ya Oktoba 29 2025 anahusika 100%.
Samia kumwondoa kwenye Uwaziri , hakuondoi JINAI ya Bashungwa Dhidi ya Watanganyika!!!.
Bashungwa huna lolote unalojua kuhusu CCM, uliokotwa huko matopeni !!.
Unazúngumzia Nchimbi, Kijana wa Chama, Mzee wa Chama...
Rais ni Mzanzibari lakini anateua watanganyika bila ubaguzi, nashangaa watu wanaopiga kelele anchagua wazanzibari wengi.
Mawaziri zaidi ya 75% ni watanganyika
Mkuu wa majeshi Jwtz - Kuna kelele za mnadhimu kuwa Mzanzibari, lakini nina uhakika hata leo huyo mnadhimu akipandishwa cheo kuwa Mkuu...
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.