Watu wawili wanaweza kutumia AI ileile, lakini mmoja akatengeneza video inayokufanya usimame ku-scroll, wakati mwingine akapata video inayoonekana wazi imetengenezwa na AI.
Tofauti mara nyingi si AI wanayotumia.
Tofauti ni namna wanavyoitumia.
Kama unatumia Gemini AI Pro katika workflow yako ya...
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
Mukono South MP Robert Maseruka has called for amendments to fishing regulations, including reducing the 200-square-kilometre Lacteine Protected Area by half.
Maseruka says the changes could help protect endangered fish species while allowing communities that depend on fishing to access the...
Wakuu leo ni jumapili,
Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele.
Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson.
Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake.
Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi...
Mfanyabiashara Godlove Mwakibete, maarufu kama Chief Godlove, ameeleza kuwa maisha yake yapo hatarini baada ya kuitwa nchini Nigeria na kupewa onyo la mwisho kufuatia hatua yake ya kutoa siri za mtandao wa kishetani aliodai kujiunga nao hapo awali.
Akifunguka hivi karibuni, Chief Godlove...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu .
Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi.
Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.
Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini?
Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida
Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
Police have arrested 12 Senior One students in connection with the assault of a fellow teenager in Nakibinge Zone, Kibuli Parish, Makindye Division, Kampala.
The arrests follow the circulation of a video on social media showing a group of boys assaulting a teenage boy.
In the video, a teenage...
Video by New Vision
Works and Transport Minister Fred Byamukama has expressed concern over the delayed completion of the 45-kilometre Biiso–Masindi Road, which has been under construction for seven years.
Buliisa MP Allan Atugonza told the minister that works on the road began in 2019 and are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.