algeria

  1. H

    JamiiForums Tanzania ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme

    ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sherehe za siku ya Kiswahili duniani zafana nchini Algeria

    Sherehe za siku ya Kiswahili duniani zafana nchini Algeria Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema lugha ya Kiswahili inaendelea kukua na kuenea duniani ambapo sasa inazungumzwa na watu zaidi ya milioni 200 katika nchi 14 duniani na kutumika rasmi katika jumuiya kadhaa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Argentina 3-0 Algeria | World CUP 2026 | Arrowhead Stadium

    Leo Mabingwa watetezi wa Kombe la dunia Argentina Wapo uwanjani kutupa karata yao ya kwanza na vijana kutoka Kaskazini MwaAfrika Algeria. Bingwa mtetezi kukabwa koo au atampasua vibaya sana Algeria? =========== Habari za Mechi na Fomu ya Sasa Mbio za Kihistoria za Argentina: Miaka minne...
  5. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE 🇲🇦 MOROCCO 💪🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi awasili Algeria

    BALOZI MATINYI AWASILI ALGERIA Balozi Mobhare Matinyi amewasili jijini Algiers, Jumanne, tarehe 19 Mei, 2026, tayari kuanza majukumu ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria. Balozi Matinyi alilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa pole kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria, Liamine Zeroual

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual. Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Algeria kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)

    Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013. Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili. Mvutano katika uhusiano wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Algeria awataka vijana wanaoishi uhamishoni kinyume na sheria kurejea nyumbani

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, amewataka vijana wa Algeria wanaoishi nje ya nchi katika mazingira magumu na bila vibali halali kurejea nyumbani, akiahidi kurasimisha hali zao kisheria, ikiwemo kwa wale waliotenda makosa madogo katika nchi wanazoishi. Serikali imesema baadhi ya vijana hao...
  10. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu Morocco 🇲🇦 Algeria 🇩🇿

    Wale mnaowatakia ama kuwaombea mabaya waarabu waondolewe kwenye mashindano haya ya AFCON na wabakie weusi tu mmefeli, tena sio kidogo, hakunaga duaa mbaya kwa mwenzio na ikakubaliwa.... huo ni ubaguzi na chuki ya wazi kabisa, wewe kama una imani haswaa na khofu ya Mwenyezi Mungu huwezi kufanya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

    1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa 2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua 3. Hana maajabu yoyote uwanjani 4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana 5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu 6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Pinda aiwakilisha Tanzania mkutano wa 44 shelter Afrique Algeria

    Algiers, Algeria – Julai 17, 2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb), ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa mwaka wa Taasisi ya Shelter Afrique, uliofanyika jijini Algiers, Algeria kuanzia Julai 15 hadi 17, 2025. Mkutano huo wa...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Algeria ni salama zaidi kwa Simba kuliko Zanzibar

    Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na vikokoto vyake alivyovizoea kila siku. Watu wakamshangaa huyu vipi, ana akili kweli? Mwisho wa siku...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  16. home is everywhere

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tbt: Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya nyuklia nchini Algeria. Je wajua?

    Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo "walikodishwa" na Algeria kupitia mikataba iliyosainiwa kati ya Algeria na Ufaransa Ili kusitisha vita...
  18. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tuacheni Ujinga. Simba haijawahi hata kutoa Draw nchini Algeria. Leo Itachapwa kama Mbwa koko

    Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu. Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

    Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni. Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Back
Top Bottom