yesu

 1. B

  Mbowe na kisa cha farasi aliyembeba Yesu kuingia Bethelehemu

  Yesu Mwokozi wa Wakristo enzi za harakati zake za kufundisha alifika mji aliozaliwa Bethelehemu akiwa amebebwa na Farasi ikiwa aina ya usafiri aliotumia. Farasi yule alishangaa kwa furaha wakati akiingia katika mji ule kuona watu wamejitokeza wamejipanga barabarani na wengine wakitandika nguo...
 2. J

  Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

  Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima. Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo. Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
 3. goldcall

  Siku ya pasaka ni siku ya sherehe ya kufufuka kwa Yesu kristo na sio ufuska

  Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku...
 4. LIKUD

  Amini usi amini Yesu ni Mungu!!! Huu hapa ushahidi wa kimaandiko

  First of all let me declare my interest. I am a devoted Muslim. But I am naturally an open minded person. My mind is free like Nelson Mandela. Am a kind of a Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M Xmass song without any problem. I am a kind of a Muslim who is not bothered to listen...
 5. mwamwala iyunga

  Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

  Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani, lakini Perpetua aliupokea Ukristo na kuwa mfuata kamili wa Kristo, japo historia haionyeshi ni...
 6. Echililo

  Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

  Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha Updates: 00:45 Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
 7. Erythrocyte

  Katika harakati zake Bwana Yesu ni wapi aliwahi kusababisha mauaji ya wafuasi wake?

  Nimepata kusoma mahali fulani kwamba Yesu Kristo alifundisha neno la Mungu, aliponya wagonjwa na kufufua waliokufa, lakini sijawahi kusoma popote ambapo imeandikwa kwamba aliwahi kusababisha mauaji iwe ya kimbari ama ya watu kadhaa. Hata hivyo, mimi si mjuzi sana wa mambo ya Biblia na wala...
 8. Hakimu Mfawidhi

  Je baada ya Yesu Kristo kuondoka Duniani, Mungu alibadilika na kua 'radical'?

  Biblia inasema baada ya mpela mpela nyingi Duniani, Mungu aliamua kumtuma Mwanae pekee mwenye uwezo kama yeye aje Duniani kutangazaa neema na ukombozi, kuhubiri amani na upendo, kuasa watu kua wema na watende mema, wasiishi kwa mazoea ya Nabii Musa na mengine, wasilipe baya kwa baya bali walipe...
 9. Analogia Malenga

  Yesu wa Tongareni Kenya

  Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ambapo anadai Mungu alimjia na kumpatia jina Yesu, na kuanzia siku hiyo hapaswi kuitwa au kutaja...
 10. KijanaHuru

  Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

  Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
Top Bottom