Watanzania wengi wamezubaa sana,ni waoga hata wa kujaribu,wamejaa roho ya chuki,na ubaguzi,kazi kuwalaumu tu wanaojiongeza!
Hivi mnajua watanzania wanaoenda ulaya, Marekani na Asia kila siku wanaenda kufanya kazi gani? Vipi mnaolalamika,mmewahi kusikia watu wa huko wakilalamika kuwa watanzania...
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye...
Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63.
Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja wake, Kim Barry. "Leo nimepoteza sio tu mteja katika Simon Fisher-Becker, lakini rafiki wa karibu wa...
Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama).
Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha...
Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo.
Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu.
Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa!
Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu.
Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam.
Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Bonsai, ni kutoka kwenye maneno ya Kijapani "kupanda trei" (盆栽), ni sanaa ya kulima na kutengeneza miti midogo kwenye vyombo kwa kudhibiti ukuaji na kuifunza kufanana na miti iliyokomaa, yenye ukubwa kamili.
Hapa kuna maoni ya kina zaidi juu ya maana ya bonsai:
Maana halisi:
"Bon" (盆) ina maana...
Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua walemavu na wazima, Dunia inayobagua makapuku na wenye navyo.
Hayo yote yote yanathibitisha Mungu...
Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo.
Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
Binadamu aliyebuni jina la taifa la Tanzania, Mohanmmed Iqbal Dar, amefariki Dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi akiwa na umri wa miaka 80.
Mohammed Iqbal Dar aliyezaliwa Agosti 8, 1944, mjini Tanga, alikuwa mtoto wa Dk Tufail Ahmad Dar, daktari maarufu...
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza.
Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964
Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi
Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa...
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma.
Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
Maji yanachukua takriban 70% ya uso wa dunia. Hata hivyo, bahari hizi ni za kina kifupi ikilinganishwa na ukubwa wa sayari yenyewe.
Na ni 0.5% tu ya maji ya dunia ambayo yanapatikana
hii picha inaonyesha jinsi ambavyo maji yote ya uso wa dunia yangekuwa yakikusanywa katika mpira mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.