Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia.
Sasa swali langu wazee, nimedownload app...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira.
“Wanawake hawapo pembezoni mwa...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezajiuwekezaji tanzania
wote
DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa lengo la kubaini maeneo yasiyoendelezwa na kutoa...
Sababu 20 zinazoweza kusababisha Watanzania kuuawa
Uporaji na uhalifu wa kutumia nguvu.
Migogoro ya kifamilia.
Wivu katika mahusiano.
Kulipiza kisasi.
Migogoro ya ardhi.
Migogoro ya mali na mirathi.
Migogoro ya biashara.
Ukatili wa kijinsia.
Mauaji ya watoto.
Tuhuma za uchawi au imani za...
Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji.
Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa...
Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi, kusababisha migogoro na kituo cha unyanyasaji wawekezaji katika mashamba ya Miti na Misitu pamoja na jamii...
Anonymous
Thread
iundwe
maalum
mazingira
mazingira ya upigaji
serikali
tfs
tume
uonevu
upigaji
uwekezaji
Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa.
■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one
■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000
■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
Habari za wakati huu;
Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza.
Nimeleta...
Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu.
Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu...
🏡 KIWANJA 3,109 SQM KINAPATIKANA – BARABARA KUU YA MSATA, MAKURUNGE BAGAMOYO
Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa lenye access nzuri ya barabara kuu kwa ajili ya biashara, lodge, hotel, kituo cha huduma au makazi.
📍 Mahali: Makurunge, Bagamoyo – Barabara Kuu ya Msata
📐 Ukubwa...
Wakuu, habari za wakati huu.Sakata la Bilionea wa Marekani na mwekezaji wa mapema wa Tesla na SpaceX, Tim Draper, kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika kwa thamani ya Dola milioni 7.9 (zaidi ya Shilingi bilioni 20 za Kitanzania) limezua taharuki kubwa nchini.
Hali hii...
Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara.
Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati nchini Tanzania.
Prof. Mkumbo amebainisha kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri ya kuisaidia Saudi...
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika na kwamba uwekezaji katika sekta mbalimbali, hususani madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu, unatarajiwa kutoa msukumo mkubwa kwa ukuaji wa uchumi.
Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.