Jamani Kuna anaewajua Chaka force security? Maana Kuna Uzi nimeupitia naona watu wanalalamika kuwa kazi ya ulinzi wengine hawalipwi wengine wanapewa laki Moja Yani balaa tu.
Mi naomba kwa anaewajua Hawa Chaka force security je ni salama kufanyia kazi? Na pia kama unajua wanalipa bei gani naomba...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。
Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Habari wakuuu,
Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi.
Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie.
Ahsante
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa,
Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
Ni aibu tupu na fedheha kubwa kwa marefa wa zanzibar wanachofanya.Wanalazimisha ni lazima timu ya zanzibar ushinde hilo kombe,kwani ni lazima washinde?
Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu
Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final
Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee
Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣
Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu...
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania.
Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.
Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu.
Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025.
Ngoja niwaambie,
Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe.
Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake.
Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara.
Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao...
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?
Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki?
Watanganyika tuamke
Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.