matokeo

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CCM Kata ya Kurasini yatiliwa shaka

    Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36. Uchaguzi huo...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UTALII, AVUNJA REKODI

    Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001. Kulingana na toleo la 25 la utafiti huo ilipokea wageni wa kimataifa 2,294,495 mnamo mwaka 2025...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Taifa Stars YANANIKOSHA SANA.

    Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
  6. C

    JamiiForums Tanzania NSSF kutengeneza kiasi cha zaidi ya Trilioni 11 ni matokeo ya sheria za kidhalimu

    Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza. Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi mwenye silaha za moto aliyefanikiwa kupora mali za watu na sasa anatoka hadharani kutamba kwamba...
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi na Uadilifu katika mchakato wa kutoa alama

    NB: Lalamiko hili linawasilishwa kwa heshima na kwa nia ya kulinda haki za wanafunzi pamoja na uadilifu wa kitaaluma wa Chuo. Kumekuwa na ucheleweshaji wa kutolewa kwa matokeo, hususan kwa wanafunzi waliofanya mitihani ya marudio (Supplementary/SUP), ambapo hadi sasa baadhi ya matokeo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
  10. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nzuri Tuionayo sasa, ni matokeo ya uongozi bora kutoka Chama cha Mapinduzi

    Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea maishani mwetu sio nyota wala roho bali ni matokeo ya michakato ya maamuzi yetu, maamuzi ya watu wengine na reaction ya nature.

    Hakuna anaendesha maisha yako Kimazinga ombwe Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa Sheria zinatungwa na alie na nguvu Uimara wa akili yako ndio...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  15. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki. I'm out.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama Tume ya yule Jaji kuhusu yale mauaji ya mwaka jana ilikuja na yale matokeo, mnashangaa nini yanaendelea mahakamani?

    Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu. Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka. Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nini matokeo (apparitions) ya "Bikira Maria" yanafanyika sirini na si kwa uwazi?

    Yesu alifanya huduma yake hadharani (public ministry). Sasa haya matokeo ya mama yake yaliyoripotiwa kwa nini ni ya kusiri (private) tu kiasi cha kuligharimu kamisa katoliki miaka kadhaa ya uchunguzi wa ukweli (authenticity) wa matokeo hayo? Kwa nini kama mambo haya ni kweli yasitokee kwenye...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge Wapitisha Sheria Kali Dhidi ya Urekebishaji wa Matokeo ya Michezo

    Bunge la Kitaifa limepitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Michezo, 2026, unaolenga kukabiliana na visa vya kupanga au kuathiri matokeo ya mashindano ya michezo nchini Kenya. Mswada huo, uliodhaminiwa na Irene Nyakerario Mayaka, unapendekeza kuweka sheria kali dhidi ya vitendo...
Back
Top Bottom