Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari.
Ongozeni kwa vitendo, punguzeni maneno mengi.
Nguvu ya Watu
Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu.
#EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa Uganda alitekwaje Nchini Kenya
Pili wanaharakati wanahoji kwanini Marais Kagame na Museveni...
Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA RUAHA, WAZIRI PINDI AZINDUA UTALII WA PUTO
■Maboresho makubwa ya Miundombinu ya Utalii yaja
Na Happiness Shayo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa...
Kila tarehe 16 Septemba, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa tabaka hili katika kulinda uhai duniani. Maadhimisho haya yalianza baada ya kuidhinishwa kwa Itifaki ya Montreal mwaka 1987, lengo kuu likiwa ni kuhakikisha tabaka la...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Msajili...
Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya masuala muhimu katika jamii zetu. Hebu tuangalie kwa undani zaidi matukio haya na umuhimu wake.
1...
Shalom Shalom!
Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa Tanganyika. Kwa mengine mengi kuhusu kanisa hilo tangu kuanzishwa hadi sasa tafadhali karibu...
Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00
Karibuni sana.
Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa (wa pili kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwananyamala B,Modeta Mushi, zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasitiri watoto wa kike.Wengine pichani ni Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi...
Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha
amani, usalama na ustawi wa Afrika
Ni dhamira ya Tanzania kukuza
amani na usalama barani Afrika ili
kuweka mazingira stahiki ya
kujenga ustawi wa kijamiina
kiuchumi kwa watu wetu.
Tangukuanzishwa kwake, Baraza
la Amani na Usalama la Umoja wa...
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yanafanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024 ni siku ya pili ya maadhimisho hayo.
Wadau watajadili mambo mbalimbali, pia kuangazia mchango wa Uandishi wa Habari na...
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi.
Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kauli Mbiu: Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa Maendeleo ya Taifa letu.
⏰ 12:00 Asubuhi.
📅 26 Aprili, 2024.
📍 Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero.
Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.