ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ushindi wa 60% wa Hichilema Ulizua Mgogoro wa Kitaifa?

    Rais Hakainde Hichilema alitangazwa mshindi kwa asilimia sitini, lakini ushindi huo ulizua mara moja mgogoro mkubwa wa kikatiba nchini Zambia. Tume ya uchaguzi ilisitisha ujumlishaji wa kura kwa saa sita huku kukiwa na ripoti za mashambulizi pamoja na fomu zisizohakikiwa. Kiongozi mkuu wa...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

    CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea Kitakuwa ni CHAMA tajiri...
  6. Soul21

    JamiiForums Tanzania Matusi kwa Wasomi ni Ushindi au Chuki zilizozikwa kwa muda mrefu?

    Kuna kauli moja inasema hivi, Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji. Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa dini: Vita vya Leo Ushindi wa Kesho (Audio + Video are using AI)

    Vita vya Leo Ushindi wa Kesho ni wimbo wa kutia moyo unaobeba ujumbe wenye nguvu kutoka Waamuzi 3:1–2. Katika kifungu hiki, Mungu aliwaacha baadhi ya mataifa ili kuwafundisha Waisraeli namna ya kupigana vita—hasa wale ambao hawakuwa wamepitia vita hapo awali. Hii inaonyesha kuwa wakati mwingine...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Yanga, timu ya ushindi haibadilishwi. Waendelee hadi waboronge.

    Ni demokrasia kweli kwenye michezo, lakini timu inayoshinda kocha haipangui bila sababu za msingi. Naogopa kuibadilisha safu ya uongozi wa Yanga uliotutelea makombe kwa miaka 5 mfululizo, maana present is known and secure. Tusije tungaingiza migogoro ndani kwa mikono yetu wenyewe.
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

    Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran. Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran. Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya 1. Kutotengeneza makombora 2. Kutorutubisha uranium 3. Kufungua mlango bahari...
  10. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Kila heri Misri nawatakia ushindi mkubwa

    Muda mfupi ujao Misri itacheza na Ubelgij. Japo Ubelgij ndio favourite lakini kwa upande wangu niko pamoja na Misri the Pharaoh na hakika watashinda nakutupaisha wa Africa jins Morocco ilivyotupaisha dhidi ya Brazil. Kila la kheri Al-Masr. adriz de mbusii
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ushindi NSSF: Viwanja Vyafunguliwa kwa Wamiliki

    TUPUUZE UPOTOSHAJI WA WANAHARAKATI Eneo tajwa lina viwanja vilivyopimwa na kuuzwa tangu mwaka 2022 ila wamiliki hawakuweza kwenda kuviona na kuviendeleza kutokana na kesi iliyokuwepo Mahakamani dhidi ya NSSF, Kesi ambayo ilifunguliwa na wavamizi wa eneo hilo. Kutokana na kesi kukamilika Mwaka...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aipongeza UVCCM kwa kuipa CCM ushindi

    DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
  14. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Matendo ya kipekee matano yanayokuopa nguvu ya ushindi wa Kiroho(vita vyetu sio juu ya mwili huu wa damu na nyama bali ni vita katika ROHO

    1)AMKA MAPEMA alfajiri saa 11 au 12 ,ukiamka mapema KABLA HUJATOKA nje, kitu cha kwanza cha kufanya ITAMKIE MANENO MAPYA SIKU MPYA unayoianza Mungu BABA ninaikabidhi siku hii mpya ninayoianza chini ya mamlaka yako,lisitokee jambo lolote ambalo lipo kinyume na mapenzi yako NENO LA KWANZA...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Memento Homo kwenye Ushindi wa Waroma

    Sherehe za Ushindi Roma — “Memento Homo” Jua lilikuwa juu ya anga la Roma, likimwaga mwanga wa dhahabu juu ya mawe ya barabara na kuta za mji uliokuwa umejaa shangwe. Siku hiyo haikuwa ya kawaida—ilikuwa siku ya ushindi. Umati wa watu ulifurika mitaani, sauti za nderemo na vifijo...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

    Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina... Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga. Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pasaka ni Ukombozi na Ushindi! Ili Watanzania Tukombolewe na Tushinde, Lazima Tusamehe (Hata Bila Kuombwa Msamaha) Tukombolewe, Turidhiane, Tushinde

    Wanabodi Heri ya Pasaka!. Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo!, ila kabla ya kukupeleka kwenye makala, mimi pia kama Mtanzania, kwa mujibu wa ile Ibara ya 18 ya katiba, natoa maoni yangu. Pasaka hii imetukuta, Watanzania tukiisubiria kwa shauku kubwa Ripoti ya...
  19. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Picha za Ayatollah wakishangilia ushindi dhidi ya Marekani zimeanza kutoka

    Niliwaahidi mvute subira. Hatimae picha ya mwanzo ya Ayatollah Khamenei zikimuonesha akiwa na Ayatollah Khomeni na Major General Qasem Solemani huko Firdaus (Pepo ya Kobaz) wakishangilia ushindi wa Iran dhidi ya Israel na Marekani huku wakipeperusha bendera ya Iran. Picha zingine nitawaletea...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka aitabiria ushindi CHADEMA

    Waziri wa zamani na kada wa CCM Profesa Anna Tibaijuka ameitabiria ushindi CHADEMA, akisema katika misukosuko inayopitia ikiwa pamoja na tishio la kufutwa, chama hicho kitashinda. Katika andiko lake lenye kichwa cha habari: "MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO" aliloliweka...
Back
Top Bottom