UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023.
1. UTANGULIZI
Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC...
Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao
Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika...
Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM.
Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ...
Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa?
Huyo makonda wenu mtajuana wana...
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD
MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA
Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated.
Falme za namna hii hizi ni nyakati...
Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world?
Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia?
Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu...
1. Msajili wa Vyama vya siasa wala Rais au serikali yake hawana Mamlaka ya kuamua au kutupangia kuhusu Katiba tunayo itaka. Hicho kigenge walichokiunda hakina Mamlaka hayo kikatiba na kikanuni. Hivyo Kinachofanyika ni Ukora na ni Ultra vires Act kabisa. Ni muendelezo wa uvunjaji wa katiba na...
DP world ni kampuni kutoka Dubai,yenye kumilikiwa na waarabu chini ya Dubai Emirates.
Kiukweli tangu imeingia nchini imeleta shida na kusababisha mpasuko nchini. Vyama vya siasa vimetofautiana, pia mjadala wake imeleta mpasuko wa kidini baina ya waislamu wachache na wakristo wachache. Pia...
Kwa wajuzi wa historia ya Tanzania wameishajua kuwa Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) la kuhusu mkataba baina ya serikali ya Tanganyika AKA Tanzania na DP World ni kaa la moto mkali ambao unazidi kumchoma vikali muhusika mkuu na chama chake mpaka watakapokufa kisiasa mapema...
==============================================
Kwa ufupi (quotes)
"Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba nyaraka muhimu za kesi kwa ajili ya rufaa ikiwemo proceedings (mwenendo) wa kesi na viambata vyake"...
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.
CCM inatakiwa ijitathmini na...
Asalam,
Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani.
1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia.
2. Mahala ninapishi network yake iko...
Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani .
Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza...
Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano na waandishi unaendelea wakati huu tar 5/9/2023 akiwa pamoja na Dr. Slaa, akisema wao watasimamia kwenye sheria na wanachotaka ni IGA kuondolewa.
Mwabukusi amesema wameonewa sababu maandamano ni haki ya kikatiba, akiongeza unapokuwa na cheo usiongozwe na...
Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE.
-----
Tangu Mwezi Juni mwaka huu kumekuwa na mijadalambalimbali kufuatia taarifa ya Azimio la Bunge...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.
Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika.
Video: By Mwananchi Digital
--
Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.