sakata la bandari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mdude_Nyagali

    Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    1. Msajili wa Vyama vya siasa wala Rais au serikali yake hawana Mamlaka ya kuamua au kutupangia kuhusu Katiba tunayo itaka. Hicho kigenge walichokiunda hakina Mamlaka hayo kikatiba na kikanuni. Hivyo Kinachofanyika ni Ukora na ni Ultra vires Act kabisa. Ni muendelezo wa uvunjaji wa katiba na...
  2. Emmanuel Mkwama

    Jicho langu la tatu kuhusu DP World kwa wanasiasa

    DP world ni kampuni kutoka Dubai,yenye kumilikiwa na waarabu chini ya Dubai Emirates. Kiukweli tangu imeingia nchini imeleta shida na kusababisha mpasuko nchini. Vyama vya siasa vimetofautiana, pia mjadala wake imeleta mpasuko wa kidini baina ya waislamu wachache na wakristo wachache. Pia...
  3. MsemajiUkweli

    Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

    Kwa wajuzi wa historia ya Tanzania wameishajua kuwa Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) la kuhusu mkataba baina ya serikali ya Tanganyika AKA Tanzania na DP World ni kaa la moto mkali ambao unazidi kumchoma vikali muhusika mkuu na chama chake mpaka watakapokufa kisiasa mapema...
  4. B

    Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

    Asalam, Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani. 1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia. 2. Mahala ninapishi network yake iko...
  5. Lord denning

    Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana. Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
  6. voicer

    Hayati Magufuli alijua haya hata kabla ya ujio wa DP World

    Huo ndio ukweli halisi na kama hamuamini ndugu zangu au members wa humu JF. Msikilizeni kwenye hiyo clip alichokiingea live. Nimeshangaa sana kuona Media streaming zote nchini kwamba hawajawahi kuona umuhimu wa hii video kwenye hili suala la Mkataba baina ya serikali ya JMT na UAE. Akiwa...
  7. S

    Sakata la Bandari: Sioni uwezekano wa Raisi Samia kupata asilimia 30 ya kura zote, na CCM kupata wabunge zaidi ya 100 mwaka 2025

    Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Kashifa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Athari za kuchanganya Siasa na Dini

    Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu zinaweza kutofautiana kulingana na muktadha wa kihistoria, kitamaduni, na kijamii. Hapa kuna baadhi ya...
  9. benzemah

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) litusaidie kwenye hoja hizi nne

    Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai (IGA), kwa sababu ya hoja kadhaa, ikiwamo wananchi walio wengi hawakubaliani...
  10. voicer

    Sheikh Alhad Mussa Salum huna ubavu kuufunga mjadala huu

    Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum. Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD. Ameenda mbali na kusema...
  11. Kambi ya Fisi

    Tajiri kijana awaponda masikini wanaojadili sakata la bandari

    SISI MATAJIRI HATUJASIKIA KUHUSU BANDARI KUUZWA "CHIEF GODLOVE "Sisi Matajiri Hatujasikia kuhusu Bandari Kuuzwa lakini Kila siku tunasikia Maskini Ohhh Bandari Inauzwa Hivi Mpo serious kweli?' "Wewe Toka umezaliwa Hujawahi Hata Kununua Gari Hata kuagiza baiskeli au Pikipiki kuipitisha...
  12. RWANDES

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...
  13. D

    Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  14. Mdude_Nyagali

    Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

    1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮 Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia wamepata maagizo kutoka juu ya kutushikilia Mimi pamoja na wezangu Emmanuel Godfrey Masonga pamoja na...
  15. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  16. Pascal Mayalla

    Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

    Wanabodi, Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue. Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja! Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi...
  17. A

    Kwanini Bandari ya Bagamoyo au Dar es Salaam na si ya Mtwara na Kilwa Masoko?

    Nimemsikiliza Mzee Samson Luhigo ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa THA wakati huo, na amezungumzia Bandari kuwa ni mgodi Makubwa na nafasi iliyokuwa nayo Tz, na kuongelea uzuri wa Bandari ya Mtwara dhidi ya hizi Bandari zingine, za Bagamoyo, na Dar es Salaam, hivyo uwezo wa Bandari ya...
  18. Feld Marshal Tantawi

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
  19. N

    Barua ya Wazi kwa Jakaya Kikwete: Hoja ya Kuchanganya Dini na Siasa

    1. KIKWETE NI NANI (I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni mwa viongozi walio wahi kuthibitisha kuwa wasahimilivu sana katika kujenga hoja zao pale ambapo...
  20. Farolito

    Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Wakuu, Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema." Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa...
Back
Top Bottom