Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum (73) ndie Mtawala wa Dubai na pia Ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Ndie aliyefanya mageuzi makubwa...
Seven African presidents to meet Putin and Zelensky
An African peace delegation will visit Kiev and Moscow, the Brazzaville Foundation has confirmed
FILE PHOTO: Russian President Vladimir Putin...
FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.
Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na...
Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo...
Wakuu ni hivi nilivyoona wanavyoonyesha javelin inavyofanya kazi nilijua Russia ni Kwa heri mara HiMRS sijui nilikataa tamaa sikutaka hata kuangalia. Mara kulipua Bomba la mafuta nikajua ndio basi...
Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa...
Hawa jamaa hadi wanatia aibu..
https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089
A grainy black-and-white gunsight video Russia released...
Baada ya Rais Biden kuapa kuweka Vikwazo vya kiuchumi kwa Saudi Arabia kwa kufyeka uzalishaji wa mafuta mwaka jana, Mohammed bin Salman alitishia kwa faragha kuvunja uhusiano na kulipiza kisasi...
Around mwezi uliopita mfumo wa anga wa USA ulipo washwa moto na makombora ya Urusi Ukraine walipinga baadae USA akakiri ni kweli Patriot imewashwa moto!
Juzi mfumo wa anga wa Ujerumani umetiwa...
Nina mashaka sana na huyu Rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili KUIDHOOFISHA ULAYA KIUCHUMI NA TECHNOLOGIA YA SILAHA ZAO. Mfano Himars zimeundwa 2012,
Uwezo wa Patriots, Uwezo...
Hayawi hayawi huwa, wazalendo wapasua ngome ya kwanza, Warusi washindwa kuhimili mapigo....twende kazi
=========
Ukraine has broken through Russia’s first line of defence in several places, 48...
Well, what’s really new here? Zilch. Nothing. Nada.
Another day, another Donald Trump so called controversy.
For as much as he claims to dislike the mainstream media, the swamp and its...
Gazeti kongwe, maarufu na linaloheshimika linalichapishwa kila siku iitwayo leo kwa lugha ya Kiebrania chini Israeli limechapisha habari isemayo kuwa Jeshi la Israeli limeanza kujiandaa katika...
Wakuu habari zenu
Muongozo kwa wanaofahamu sheria za immigration nina overstay in my passport harafu nataka kuludi nyumbani je nikivuka ile inchi bila bann nikifika home bado wataitambua kama...
Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki.....
A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following...
Mwaka 2021 Augustin kabuya msemaji wa serekali alipo ulizwa je Kuna mpinzani yeyote ambaye anaweza kumshinda felix Tshisekedi kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2023
Augustin kabuya alijibu
Moise...
Kwanza lazima tujue misaada yooote inayotolewa na NATO kwenda kuipa nguvu Ukraine haitolewi ili kuisaidia Ukraine bali kuwasaidia NATO kibiashara.
Kwa kifupi watu wanapata faida pale wanajeshi wa...