usiku

 1. N'yadikwa

  Wapenzi wakifanya mapenzi ndani kwao usiku kwenye dirisha ambalo halijafungwa wanaweza kushtakiwa?

  Katika kesi ya Smith v Hughes , washtakiwa hawa ambao walikuwa wapenzi, walishtakiwa chini ya Sheria ya Makosa ya Mtaa kwa kosa la kufanya mapenzi hadharani ijapokuwa walikuwa ndani ya nyumba yao lakini walikuwa wakifanya huku dirisha likiwa wazi umma ukiwaona. Wakati wa kesi, washtakiwa...
 2. No Escape

  JamiiForums Usiku wa manane

  Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
 3. Chief Mulenda

  28,Wednesday usiku wa manane walio kosa usingizi tukutane hapa

  Tukutane hapa walio kosa usingizi muda huu mimi nimenyimwa Game yani nimekosa usingizi kabisa.
 4. Y

  Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

  Wakuu habarini .. Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released.. Msaada wakuu.. Category za movie ziwe ; 1. Action 2. Romance 3. Thriller 4. War 5. Crime Kuhusu...
 5. miss zomboko

  Kisiwa cha Kome Mkoani Mwanza chateketea kwa moto usiku wa leo

  Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha Kome eneo la Mchangani, halmashauri ya Buchosa, Sengerema, mkoani Mwanza na kuteketeza vibanda vingi vya wafanyabiashara pamoja na mali zilizokuwemo kwenye vibanda hivyo...
 6. samkul

  Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

  Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
 7. Abubakari M N

  Simulizi: Kinu cha Mama

  KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
 8. Cannabis

  RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

  Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
 9. technically

  Mbona Magari ya wagonjwa yamekuwa mengi usiku siku hizi?

  Hapa nimelala nautafuta usingizi kila nikijigeuza nasikia King'ora Cha gari ya wagonjwa inapita duh. Kila Muda mchana unajua inakuwa ngumu kusikia sn unachukulia poa ila usiku toka nimelala ni gari la 3 nasikia linapita nje. Hii Corona itasomba watu aisee ni hatari hali ime-change ghafula hata...
 10. Pascal Mayalla

  Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

  Wanabodi, Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona. Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa We Should Tame Tanzania Before She Tames Us With COVID-19 Coronavirus has continued to sweep across the African continent...
 11. miss zomboko

  Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

  Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
 12. Sigara Kali

  Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

  Jamanii muda si mrefu tumepitiwa na tetemeko la ardhi hapa Ushirombo Ni tetemeko Dogo limedumu kwa sekunde kadhaa Tuwaombee wenzetu wa Bukoba/Kagera na Chato.
 13. manchoso

  Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

  Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
 14. Analogia Malenga

  Kinondoni, Dar: Polisi watawanya raia waliokuwa kwenye mikusanyiko mida ya usiku

  Polisi wamevamia Bar za Kinondoni kutawanya mikusanyiko iliyokuwa inaendelea wakati wa usiku kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus Bar na shughuli nyingine zilizokuwa zinaendelea kwa muda wa usiku zilitakiwa kufungwa Polisi hao walitawanya watu starehe baada ya kutoa tahadhari kwa ving’ora...
 15. Parabora

  Kwa jinsi nilivoshuhudia party ya uchi ndani ya The Baraque Club, Jijini Geneva usiku wa jana Siamini kama wazungu wako sawasawa

  Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya uume ikiwa imesimama zaidi ya mshale ukiwa kwenye mwendo. Usiku wa jana ni moja ya matukio ambayo...
 16. Nyanswe Nsame

  TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

  Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika. Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi. Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
 17. Daisy Llilies

  Usiku wangu na mgonjwa wa Corona virus

  Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari. Nilifika kazini saa...
 18. Erythrocyte

  Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

  Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata . Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
 19. S

  Upepo mkali jijini Dar usiku wa kuamkia Machi 1, 2020

  Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki! Upepo ni mkali.
Top Bottom