matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa kwenye mitandao wanajuaje kuwa namba ya mtu flani inapesa kiasi fulani?

    Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wezi, Matapeli na Vishoka Stendi Mbezi Loius Wachekelea

    Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi: MADALALI: Ukishuka tu stendi pale , una mizigo, walet mfukoni na mabegi unavamiwa na vijana , MMOJA ANA TIKETI...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tukiwaita matapeli au wezi tutakuwa tunakosea?

    Kumekuwa na wimbi la watu kutuonyesha pesa, dhahabu, majengo, magari n.k bila kutuonyesha njia zilizotumika kupata hivyo vitu. Wanakuwa wanatuonyeshea matokea, badala ya mchakato mzima uliotumika katika kufanikisha hayo matokeo. Lengo lao ni kutaka nini kutoka kwetu? Au wana ajenda gani katika...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania KERO:Polisi ni wezi na matapeli wa mali za watu

    Ili swala la malalamiko idara ya polisi lijaanza leo ila lilikuwa mda tu. Polisi ni wezi na matapeli. Hapa JF mtakuwa mashuuda na malalamiko. Kwa nini ukiwa na kesi au wamekukamata wanachukua mali zako mfano simu, laptop,pesa hata wakija nyumbani kwako wanaweza kubeba hata friji na ukifatilia...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

    Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia kujenga uaminifu wa haraka (instant credibility) ili waathirika wasiwaatilie shaka wanapowaomba fedha au...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bro. Ogopa matapeli, mwanamke akitaka kukupa penzi anakuja mwenyewe na nauli yake

    Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu. Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati. Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji. Sasa Kuna mwamba nipo nae...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

    Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Matapeli mitandaoni hubadili Usernames baada ya kupiga tukio

    Moja ya ishara kubwa ya kurasa za utapeli mtandaoni ambayo watu wengi hawaistukii ni tabia ya kubadilisha majina ya akaunti zao mara kwa mara. Matapeli wakishawadhulumu watu na jina lao kuanza kuchafuka mtandaoni, hawafuti akaunti; badala yake, wanabadilisha tu jina la ukurasa, picha ya wasifu...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Mtandaoni mmewahi kukutana na wateja matapeli, Ilikuwaje?

    Licha ya wateja kulalamika kuhusu matapeli wa biashara mtandaoni lakini pia kuna wateja matapeli. Kuna rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo sasa kuna siku akapata Delivery Kimara Temboni. Mteja akamwambia atalipia mzigo ukifika. Basi bwana boda akaja dukani kachukua mzigo kaelekea Kimara...
  12. blogger

    JamiiForums Tanzania TCRA na Mamlaka nyingine husika. Kamateni haya matapeli

    Matapeli hayo...walinitext nikayapigia.. Usijaribu kutoa taarifa zako. Na yaliiblock cm yangu kabisa. Ikawa haitoi calls... CHUKUA TAHADHARI..
  13. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya matapeli wa mtandaoni na kampuni ya TTCL?

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti. Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania TPDC mnafahamu kuwa matapeli wanatumia jina lenu au mpaka siku litokee

    Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala. Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu. Hawa ni kutoka kule na siwezi kuonesha IP ila inatoka mlipo mleta na ndege yenu kuwa urafiki mzuri.
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

    Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo. Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako...
  16. ashraffbale

    JamiiForums Tanzania DOKEZO 4H real estate company ni matapeli, wameniuzia kiwanja chenye mgogoro

    Habarini, Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni Pia kuna watu amewauzia viwanja hewa vilivyopo Kisarawe Lingato, anaweka beacons za uwongo. Genge hili la...
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Irene, nyuma yako mbele yetu, Innalillah Wainna Illah Rajuun, tusipuzie wanaotaka msaada na kuita matapeli

    Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa nikamwambia bro kama una wasiwasi usitoe sio uwe chanzo cha wengine kutotoa. Mapema majuzi nilikua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa zamani wa Kyela, Maskita na Mwamkenja walipotelea wapi?

    Hawa Jamaa walitumia ujanja na. ushirikina kutapeli wakulima n.a. wafanyabiashara Mara ya mwisho niliacha kuwafuatilia nilipoenda Ulaya kwa masomo, niliporudi sikuwakuta Kama Kuna mtu wa zamani wa Kyela humu anaweza kunisaidia Hawa watu walitikisa mno Kyela kwa utapeli Wao Je walikufa Au...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hates still never lecover. Wauza Ngada, Vyeti feki, Watumishi hewa ,Mafisadi Wafanyakazi wazembe, Matapeli. JPM aliwanyoosha

    JPM r.i.p. Ulinyoosha watumishi hewa , Wezi wa rasilimali za nchi, Mafisadi, Wauza madawa ya kulevya wenye vyeti feki , Matapeli wazee wa short cut. Hawa wote walikiona cha moto kipindi chako ndo ulituonyesha wanasiasa wengi wana bei wananunulika kama nyaya sokoni kwa hiyo wasitudanganye kama...
Back
Top Bottom