Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda.
Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin.
Hata...
Kuna mtaa nipo hapa nimekuja kumtembelea ndugu yangu ni mgonjwa, sasa bana jirani hapa Kuna kanisa la WALOKOLE, mda mwingi wanapiga maombi ninaweza kusema ni ya kelele sana, zimekua kero kwa wagonjwa na wazee wanaohitaji utulivu.
Inakuaje mtu mnaweka maspika makubwa mnaelekezea kwenye madirisha...
Neno la Bwana katika Injili iliyoandikwa katika
Mathayo 28: 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Je neno au jina la Walokole limetokea wapi? Je kuwa Mkristo ni hatua ya awali kisha ulokole ni daraja la juu?
Je ni...
Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi
Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao
Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman
Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
BWANA YESU ASIFIWE...Haleluya... Shalom..,
Naomba kwanza nitambulike kuwa sipingi fungu la KUMI ila naweka wazi kitu MHIMU Ili tusiebdelee jinsi ilivyo kwa wengi wetu.
Fungu la kumi limeonekana KIKWAZO KWA WALOKOLE WA LEO kwa sababu;
1.Limefanywa kuwa njia ya kujipatia utajiri kwa viongozi wetu...
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo...
Tuendelee kuomba wapendwa kuna namna watu wanakuwa salama kwenye maeneo yetu kwa sababu ya kuomba kwetu. sikiliza ushuhuda huu hapa!! Glory to God.
https://www.instagram.com/reel/DXrtusIDdtJ/?igsh=MXV2a3UxanQzeWg5dg==
https://youtu.be/NHV7D4-Zi8I?si=Kc-5iOapj5nGHecK
Namnukuu mchungaji aliyekuwa akihubiri kanisani leo mchana, "Tuko mbele 'zako' baba wa mbinguni".
Hivi mungu ana mbele ngapi? ni 'mbele zako' au 'mbele yako'.
Hebu tuwekane sawa maana mungu anaweza akawa na mbele zaidi ya Moja kwa sababu mara zote walokole wamekuwa wakisema "mbele za mungu"...
Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya taasisi hizi zimegeuka kuwa vijiwe vya kunufaisha wachache chini ya mwavuli wa imani.
Kwa upande wa...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na...
Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana...
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.