kipaumbele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RC ROSEMARY SENYAMULE: HUDUMA BORA KWA WAZEE NI KIPAUMBELE

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya. Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ado: Serikali ikibaini madini, Wananchi wapewe kipaumbele, Wachimbaji wadogo wasifukuzwe "hii ni nchi yao!”

    Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
  4. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwasasa mapenzi siyo kipaumbele changu tena

    Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu. Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa...
  5. Vien

    JamiiForums Tanzania Ni Muda Muafaka Kwa Serikali Kuipa Kipaumbele Barabara Ya Mpiji Magoe

    Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kutaka mabasi yote ya mkoa kuanzia na kumalizia safari zao katika Magufuli Bus Terminal, nadhani sasa ni muda muafaka kwa serikali kuangalia pia upande wa miundombinu ili agizo hilo liende sambamba na kurahisisha usafiri kwa...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  9. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Huduma za uhakika za ulinzi

    Kulinda kile unachokithamini ndiyo kipaumbele chetu. 💯 Chagua ubora, chagua teknolojia, chagua amani ya moyo. 📞 0622667749 #SmartEyeSecurityServices #YourSafetyOurPriority #SecurityExperts #SmartProtection
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  11. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Raha za Peponi

    Raha Za Peponi (hedhi) wala nifasi, hawaendi choo kama ilivyo kwa hali Nao wake hao hawatakuwa wakiingia katika siku za huku duniani, Wala hawatazaa, wala hawatatokwa na manii. Anasema MWENYEZI MUNGU (Subhaanahu Wata'ala): وَلَهُمْ فِيهَا أَزْوَاجٌ مُّطَهَّرَةٌ "NA HUMO WATAPATA WAKE...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii Habari ya Kifo Haijapewa Kipaumbele?! Sijaisikia!!

    Habari Wakuu, Taarifa inataarifu mlembwende huyo ambaye ni influensa kutoka USA amefia kwenye moja ya Resort ya hali ya juu hapa TZ. Hii habari ni ya zamani mimi ilinipita au ni manga'nyu? Sijaipata kwenye nyuzi kabisa. Kuna mwenye taarifa? Inaonekana mpenzi wake anahusishwa. Mapenzi bana!
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Imevuja: Njama ya kuifuta CHADEMA yabainika, Ndio kipaumbele cha kwanza cha Mwigulu

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba tayari mipango ya kuifuta Chadema kwenye Daftari la Msajili imekamilika Habari zingine zinadokeza kwamba huo ndio ushauri wa Mwigulu Nchemba kama Kipaumbele chake cha kuleta maendeleo Usiondoke IF kwa ajiri ya Taarifa zitakazofuatia Baada ya Timu Yetu...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mada hapa JF haikupewa kipaumbele ila Kitima alipoeleza mmeelewa

    Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi. Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi: Mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeelekeza kuwa katika mchakato wa uchujaji na uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao husika ili mchakato uendelee. Kwa mujibu...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo: Janga Lisilopewa Kipaumbele

    Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla. Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
Back
Top Bottom