Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo...
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo...
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini...
Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja...
====
The Tanzanian government is in talks with two foreign investor companies that have expressed interest to build power transmission projects worth a total of $1.2 billion.
If successful, these...
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume...
Ni wazee wastaafu wa mashirika yaliyokuwa chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kama Posta, railway n.k
Kwa kawaida huwa wanapokea pensheni zao kila baada ya miezi 3 lakini safari hii mpaka leo...
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao...
Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana!
Mwaka Jana kukapitishwa...
Katika kujadili swali la kama Tanganyika iungane na Kenya au iungane na Zanzibar, ni muhimu kuangazia faida na hasara za kila muungano. Hata hivyo, katika muktadha wa maendeleo ya kiuchumi...
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika...
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama...
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama...
KADA nguli wa CCM jijini DSM Komredi Steve Nyerere ameshangazwa na kitendo cha Chadema kutotuma rambirambi kwenye Msiba wa Mtangazaji Maarufu nchini Dida wa Wasafi FM
Nyerere amesema ni vema...
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah...!
Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina %...
Ndugu zangu Watanzania,
Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ni Baba lao, ni tumaini la watanzania,ni nuru ya wanyonge,ni nyota ya matumaini.Hiki chama ndio kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio...
Rais Samia amesema ndugu zetu wa Kenya ni Wiki sasa wanapambana kulinda Amani Sisi tusifike huko
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila...
Hii ndio Taarifa ya Sasa, tukiachana na zile porojo za RPC wa Dar kwamba Mnyika Hawindwi, Inakuwaje asiyewindwa aviziwe kanisani na kuvuruga Ibada za Watu?
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.