Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima.
Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29...
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha dhambi. Wenye michepuko ndio wanaogombania majukwaa kuendesha semina za uaminifu katika ndoa.
Wasio na...
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM
Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi.
Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo.
Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA.
Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku...
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano.
'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi.
'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani.
Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi?
Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
1: Lammens
2: full back mpya atakaye nunuliwa january
3: full back mpya atakayenunuliwa january
4: Yoro
5: de ligt
6: Baleba
8: Mainoo
10: Bruno
7: Mbeumo
11: Cunha
9: Sesko
Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa.
Naomba niishie hapa.
Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani.
Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
Unaweza kuchukulia poa huu msemo
Labda ukaona umekaa secular sana
Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili .
Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao
Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21.
Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya Wayahudi/Waisraeli katika tamaduni zao kuhusu shughuli za mazishi.
Waisraeli walivyozika zamani siyo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.