Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,247
26,141
Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi.

Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na parokia? Au leo wote hamjaenda kanisani?

Au ndo mmeshaelewa kuwa mkataba wa uwekezaji Bandarini ulikuwa unahusu Terminal 1 tu( Gati 0-4 na gati 5-7)? Ila yamewashuka mmeamua kukaa kimya kama sio nyie mliokuwa mnasema bandari zote zimeuzwa?

Au ndo ukweli umeshawafundisha adabu kuwa muache upotoshaji?

Natumai sasa mpo kwenye harakati ya kuomba tenda muwekeze bandarini Dsm gati No 8-11 maana mlikuwa mnapiga sana kelele kuwa mna uwezo wa kuwekeza kama wazawa na Serikali imeshatangaza tenda na iko wazi!

Nawasubiri na majibu yenu

Angalizo.
Sitaki matusi, nataka majibu!

Cc. FaizaFoxy The Boss
 
Cc. FaizaFoxy
Huenda bado zipo wewe ulikuwa una sikia wapi?
 
Sasa hivi kuna mpya ya ukiingia Loliondo inajiandika kwenye simu “United Arab Emirates” na ukiingia Handeni Tanga inajiandika kwenye simu “Qatar MTN”.

Tanzania haijawahi acha kunishangaza.
 
Hahahahahaha

Wameitoa lini hii? Sijaisikia

Hawa jamaa na vibaraka wao TEC kwa santuri za uongo kweli hawajambo
 
Mbona ipo takriban mwezi sasa mitandaoni wanasema hayo na pia Kuna uzi hapa jamaa aliuleta kati ya jana au juzi kuuliza kama kuna yeyote mwenye evidence lakini haijaletwa licha ya kwenda post zaidi ya 30.
Hahahahaha ngoja niutafute!!

Hawa jamaa wanatuonaga watanzania Mandezi sana. Wanajuaga hatusomi , tukisoma hatuelewi kwa iyo tunawasikiliza wanayosema wao tu🤣🤣

Safari hii watakoma. Nimeamua kukomaa nao na upotoshaji wao
 
Amani ya Bwana wetu mpendwa Yesu Kristo iwe nanyi.

Leo naomba kuwauliza wale wapotoshaji na wazandiki fc! Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa sijui Bandari zote kapewa mwarabu zimeishia wapi?

Wale wengine WARAKA FC mbona hatusikii tena waraka wa upotoshaji na uongo ukisomwa kwenye vigango na parokia? Au leo wote hamjaenda kanisani?

Au ndo mmeshaelewa kuwa mkataba wa uwekezaji Bandarini ulikuwa unahusu Terminal 1 tu( Gati 0-4 na gati 5-7)? Ila yamewashuka mmeamua kukaa kimya kama sio nyie mliokuwa mnasema bandari zote zimeuzwa?

Au ndo ukweli umeshawafundisha adabu kuwa muache upotoshaji?

Natumai sasa mpo kwenye harakati ya kuomba tenda muwekeze bandarini Dsm gati No 8-11 maana mlikuwa mnapiga sana kelele kuwa mna uwezo wa kuwekeza kama wazawa na Serikali imeshatangaza tenda na iko wazi!

Nawasubiri na majibu yenu

Angalizo.
Sitaki matusi, nataka majibu!

Cc. FaizaFoxy The Boss
Tuambie wewe mjuaji
FC.
 
Back
Top Bottom