Mlianza kuisapoti Portugal ya Pimbi Christiano Ronaldo ilipotolewa haraka sana mkahamia kwa England na Keane na walipotolewa haraka sana mkahamia kwa Haaland na Norway yale nao walipotolewa mkahamia kwa Mbape na France yake na bila ya Aibu kwa Chuki zenu binafsi kwa Argentina na Messi ghafla...
Mzuka wana jamvi ?
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia .
1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili...
GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana
Namkubali sana GENTAMYCINE...
Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea...
Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa.
Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi.
Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.
2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY...
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua...
Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili...
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa...
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
Yaani.....
1. Nimepoteza kabisa Nuru
2. Natia Huruma niwapo na Watu
3. Sijiamini amini
4. Najishtukia
5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara
6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno
7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha...
Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye.
Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza.......
1...
Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC.
Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu.
Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa.
Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
gentamicine
gentamycine
half american
hekima
joanah
kubeba
kushika
mke
mke wangu
mshan jr
mtoto
mzizi mkavu
mzizimkavu
naombeni
natafuta
shida
to yeye
ujauzito
wangu
wapi
"Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania.
Imeisha hiyo. Kudadadeki.
Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.