ngorongoro

  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  2. Godfrey Alfred

    JamiiForums Tanzania All-in-One 4-Day Mid-Range Tanzania Safari – Book Your Tarangire, Serengeti & Ngorongoro Tour Now

    Find, compare, and book safari tours and attractions, including your All-in-One 4-Day Mid-Range Tanzania Safari with our local expert guide in Tanzania’s Northern Circuit! Contact us via WhatsApp: +255 764 415 889 or email: sales@africanaturaltours.com. Book an all-in-one 4-day mid-range...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa notisi zilizotolewa kwa vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito

    Wizara inapenda kutoa ufafanuzi kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu notisi zilizotolewa tarehe 4 Juni, 2026 na Ofisi ya Msajili wa Hati Mkoa wa Arusha kwa Vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Arusha: Ujenzi wa barabara LUDUARE- Serengeti umeanza na hatua za kuunganisha Ngorongoro na Monduli

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo kuwekeza takriban Tsh. Bilioni 500 Ngongoro na Serengeti

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo. Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpina: Serikali haiwezi kuaminika tena, imesaini mikataba ya siri ya Bandari, NHC, Ngorongoro, TFS, Makaa ya Mawe bila kibali cha Bunge

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza na Wanahabari leo Juni 23, 2026 wakati wa kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2026/27.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

    Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni? Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi mpango huo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 14 zapinga ripoti za Tume za Rais kuhusu Ngorongoro, Loliondo

    Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kuhusu matokeo ya Tume za Rais zilizochunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji katika Eneo la Hifadhi Ngorongoro

    Machi 12, 2026 Rais Samia Suluhu, alipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Chamwino, Dodoma. Soma: Rais Samia apokea taarifa ya Tume za Rais kuhusu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Presidential Commission Report on Land Issues in Ngorongoro District

    Date of Presentation: March 12, 2026 Executive Summary This report outlines the findings and recommendations of the Presidential Commission tasked with assessing ongoing land disputes and conservation challenges in the Ngorongoro District. The assessment focused on three primary protected...
  13. M

    JamiiForums Tanzania The Ngorongoro Relocation Evaluation Report by the Chairman of the Presidential Commission

    This is a summary of a speech by Eng. Musa Iyombe, Chairman of the Presidential Commission evaluating the voluntary relocation of Ngorongoro Conservation Area (NCA) residents to designated areas like Msomera, Kitwai B, and Saunyi. While the government's decision to relocate residents to protect...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania MAKALA MAALUM: Wamasai wa Ngorongoro hawana budi zaidi ya kuondoka

    https://youtu.be/hqK3JMqiY0A
  16. K

    JamiiForums Tanzania Bila kutangazwa Tenda waarabu wapewa Bandari, Ngorongoro, Mwendokasi na KIA

    Kwenye yote haya hatutaona mikataba yeyote sasa kama ni kwa manufaa ya umma kwanini mikataba ya siri
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Ngorongoro

    Nimeona mitandaoni Hifadhi adimu ya Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze! Sitaki kuhoji zaidi maana nitazidi kuumia sana! Lengo la hii mada ni kuitambulisha Hifadhi ya Ngorongoro kwenu iliyovutia wawekezaji toka jangwani Hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania ni eneo lenye ekolojia...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha UNESCO World Heritage hakitoshi kuwaondoa Wamaasai Ngorongoro

    Kwa miaka ya karibuni, mjadala kuhusu hatma ya jamii ya Wamaasai ndani ya Ngorongoro Conservation Area umeendelea kuchukua sura mpya. Kauli ya Samia Suluhu Hassan kwamba Ngorongoro ni moja ya maeneo machache sana duniani yaliyo ya kipekee ndani ya UNESCO World Heritage Sites imezua mjadala...
  19. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
Back
Top Bottom