Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja.
Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI.
NDO MAANA...
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, unakuta ndani mmegombana alafu gafla anaanza kusema "nipige nipige" huku ukiendelea ku-provoke au kuchochea hasira za mwanaume hili apate hasira zaidi, kisha ukimpiga anaanza kusema "Majirani ananiuaa, Majirani ananiuaaa"
Sasa ugomvi unauanzisha wewe, na...
Hellow wana JF.
Kutokana na sakata linalo endelea hivi sasa la madereva wa Tanzania kugoma kutoa hudumu za usafirishaji. Kutokana na sababu mbalimbali na lawama kubwa kwa Matrafiki wa barabarani.
Je ina-maana bwana Daktari alikuwa sahihi kumshushia kipondo kizito Trafiki?
Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki.
Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika.
Sisi tumebaki na zamu ya kupambana na maisha yetu, kulipa bili na kutafuta hela za kula bata kidogo.
Kujifanya mkombozi wa awamu ya pili ni kiherehere cha kutafuta kupigwa ili ulie, na ukipigwa ukakaa kimya unapigwa tena na tena...
Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.
China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi
Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 14...
Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda...
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa
https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
Naomba kuwajulisha haya machache yatawasanua!
Ile harassment ya wafuasi wa CHADEMA, jana (Septemba 15, 2025) ilikuwa kimkakati na ilipangwa kabisa ili kutaftia njia ya kuwashambulia kama ujumbe wa kutisha wanaopanga kuandamana!
Ile haikutokea bahati mbaya, Ilipangwa kabisa ili wajae kwenye...
Sasa wenzangu akina Ritz Adiosamigo na wengine ambao hatukuenda shule inabidi tusubiri kusikia sheikh kitinku atatupa tena maneno gani ya kuwajibu hawa waisrael.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anakiri kuwa walipata kipigo kibaya kwenye vinu vyao. Ingawa sisi tulijaribu sana kupinga. Na wenzetu...
Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?
Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ?
je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ?
je, matukio...
I salute you kinsmen
Hii team yenu ya simba imejaa utoto
Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato.
Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie
Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena.
Hamna tofauti na malaya...
Kipigo cha Wazaliwa wa Kwanza Kilichotokea Misri
Je umewahi kutafakari kwa nini mapigo yote 9 aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwa nini lile pigo la 10 la kufa wazaliwa wa kwanza ndipo akawaruhusu wana wa Israeli?
Maana yake ni kuwa Farao aliendelea kuwa na moyo mgumu mpaka...
Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao.
Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
Ni Historia mara ya kwanza kwa Timu ya Afrika kumfunga huyu anayejiita 3 Lions (katika 22 attempts): Ofcourse sio kipigo cha Mbwa mwizi ila hawa wadau wametukatili sana kwenye World Cup kadhaa ngoja tu na hiki nikiite ni cha mbwa mwizi....
https://youtu.be/Rflrb2KUL7M?si=VCilMKc4xqUJ0QTG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.