viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pole kwa Rais Samia: Viongozi wa Dini Wafika Nyumbani

    Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa inawaomba CCT,TEC,BAKWATA waunde Kamati ya suluhu na uapatanisho ili kusaidia juhudi za Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua mlango wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa.KKMK tunaamini kwamba viongozi wa dini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi wa dini yeyote aliyeweza kuhubiri haki bila kuyumba kama alivyofanya Lissu

    Viongozi wa dini, ni waonesha njia, najiuliza, kwa sasa wanaonyesha njia Gani ikiwa uovu umetamalaki nchini? Watu wanapotea, wanatekwa na kuuwawa, lakini hatuoni kauli ya pamoja kama viongozi wawakilishi wa uwepo wa Mungu duniani? Ni KWELI wanaitambua Nafasi Yao iliyowazi kwenye vitabu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wampa hongera Rais Samia, 'Kazi umeifanya, imeonekana'

    Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi. “Kazi umeifanya, imeonekana,” viongozi hao wamesema, wakimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiongoza nchi. Soma...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo kuruka hewani kuwakabili viongozi wa dini

    Kutokana na kile kinachoonekana kwamba viongozi wa imani fulani wameenda kumuona Maza na kuendelea kutoa ufafanuzi wa mazungumzo yao na maza;kuna kila dalili kwamba Mwaipopo ataruka tena hewani ku challenge kilichozungumzwa. Hii ni kutokana na kwamba mdau huyo yupo mbele ya watu fulani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Viongozi wa Dini kemeeni wananchi wanapoonewa, hampendi kukemea unyanyasaji ila ni wepesi kuzunguka na amani, amani...

    Viongozi wetu wa dini, kemeeni wananchi wanapoonewa na serikali inapofanya vibaya. Hususan huu kamata-kamata unaoendelea sio wa kisheria. Ni wa kinyanyasaji na ni mbaya sana kwenye taifa. Kwa sababu mnapokemea unyanyasaji, hata pale mnapokuja kuleta wito wa amani watu bata waelewa. Ninyi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Bella na Cheti cha Daniel: Skandali Zinavyouwa ‘Image’ za Viongozi wa Dini

    Mbinu ya 'Asali na Mtego': Jinsi Skandali za Mapenzi na Nyaraka Zinavyotumika Kuangusha Nembo za Kidini (Kisa cha Sheikh Walid na Fr. Dr. Kitima) Wana-JamiiForums, hamjambo! Katika ulimwengu wa sasa, vita dhidi ya viongozi wa dini wenye ushawishi mkubwa haipigwi tena kwa kutumia hoja za kiasili...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

    Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza Uamuzi wa Baraza hilo umetolewa leo tarehe 14/07/2026, mara baada ya kukutana katika Kikao cha dharura chini ya Kaimu Mufti...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

    Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa na ustaarabu Jiulize Muislam kama Bakhresa anakaa kwenye zulia anamsikiliza Shehe Mazinde😂...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa Dini na Wanananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 Mwanza katika ukumbi wa Nyakahoja leo Machi 26, 2026. Viongozi wa dini wanaoshiriki mjadala wa leo ni; Sheikh Hamisi Mataka - BAKWATA, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bishop Nelson Kisare -...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Viongozi wa dini kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja

    Akijibu hoja ya Athuman Mwachuma kuhusu baadhi viongozi wa dini kuwajengea chuki vijana katika mahubiri yao, Askofu Shoo amesema kuwa vijana wasikimbilie kuwalaumu viongozi wa dini kwa sababu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kwani kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja
  17. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, masheikh hasa, Maaskofu, Statesmen wote wameshindwa kumwambia /kumshawishi Samia kumwachia Lissu kwa sababu hana hatia!

    Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu? Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?.

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo. Mada ya leo ni hoja ya Makamu Rais kuwaomba viongozi wa dini kumuombea Rais Samia. Swali ni hii hoja ya rais kuombewa, je rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee kwasababu ndio huongoza sala kwa waumini wao, au anahitaji...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya 'Watu wabaya'

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu. Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania M/Kiti Kamati ya Kimataifa ya Uhuru wa Dini Ameeleza Kuwa Samia Amekuwa Akiua Uhuru wa Dini, Ikiwa ni Pamoja na Kuteka na Kushambulia Viongozi wa Dini

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini. Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa...
Back
Top Bottom