“Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo.
Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...