Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuuwa wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger...
Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
Habari wakuu,
Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu.
Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba.
Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa...
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.
=====
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.
Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo...
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).
Hizo...
Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio.
Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake...
Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23.
Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga.
Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nay.
Timu inapiga chenga na...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
Simba ni Simba ,awe amelala au amekufa anabakia kuwa Simba ,Simba anatisha, Simba ni mnyama mkali sana .usijaribu kumzoea ,Simba ni mkali sana ,muwe na adabu Simba ni kubwa sanaaaaa,,