kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwandende

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kupiga mwanamke bora nimemwacha aende kwa amani., majuto ni mjukuu.

    Kila nikifikiria yaliyonikuta ktk maisha yng ya ndoa Miaka kadhaa iliyopita, najiona nilifanya uamuzi sahihi sana kumwacha aende kwa amani. Nikiwa na umri wa miaka 25 nilibahatika kuoa msichana mmoja wa kitanga,,sijawahi kumpenda mwanamke kama nilivyompenda huyu binti wa kuitwa Mwanamkasi. Baada...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Madereva bora tufe tumesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti

    Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 15 anaruhusiwa kuolewa, kwanini haruhusiwi kupiga kura?

    Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Mafisadi huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa ndefu

    Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo Tukija kwenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Katambi angalia police station na ufanyaji kazi . Iga vitu vizuri kama hivi na si kupoteza, kupiga watu, kuua etc etc

    Kwa nia NJEMA tu. Ona wenzako huko Ethiopia.
  8. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mwanaume kupiga magoti mbele ya mke wake kwa ajili ya kumuomba msamaha wa jambo ambalo liko sensitive sana

  9. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Shee Mwaipopo wa kupiga mikwara watu

  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh8,000 Kupiga Shoot Nairobi? Sheria Mpya Yazua Gumzo

    Sheria hiyo mpya imeweka ada ya KSh8,000 kwa kila commercial filming session ya local production, huku production teams kutoka nje zikitozwa KSh50,000. Music video production itagharimu KSh10,000, huku content creation studios zikitozwa KSh40,000 kwa mwaka. Influencers wanaoandaa monetised au...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Nini Hutakubaliwa Kupiga Picha Ballot Paper Yako 2027? IEBC Yaeleza

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefafanua kwa nini wapiga kura hawataruhusiwa kupiga picha ya ballot paper baada ya kuweka alama kwa mgombea wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema hatua hiyo inalenga kulinda moja ya misingi muhimu ya uchaguzi...
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya walimu kupiga wanafunzi mpaka kuwaua

    Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa, Diwani, MEK na watumishi wote wa halmashauri wanaweza kumpiga kofi mwalimu. Imagine Mwl anafundisha...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Yajue maeneo ambayo ni marufuku kupiga picha Dar es Salaam

    Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unataka kupiga soga na nani?

    Mtu unayemtongoza?, Bosi wako?, Rafiki mpya? Chawa? Moderator? Au Mimi?🤣
  19. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kupiga bajeti ya tume ya jana kutoka Namibia, Uganda na Tanzania

    Hypothetical budget Makamishina 6. Kila mmoja posho zooote....ie siting allowance, per diem, "salary "trànsport etc etc... yaani kama wabunge wanavyokula posho na mshahara......combine all.......1,500 USD per day per head Siku 150 x 1,500 per day x 6= 9,000,000 USD Roughly 9,000,000 USD for the...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
Back
Top Bottom