suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  2. Lavit

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wamachinga Chalamila anapaswa kuungwa mkono na watu wote!

    Wakuu habari! Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga! Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro! Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: This is big YES or big NO?

    Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo waliopoteza wapendwa wao, wapo waliofukuzwa kazi na kuna wengine wanaumwa magonjwa, kila mtu ana vita yake ya...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Suala hili kiuchumi linamaanisha nini?

    Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia, ambazo zilifikia Ksh bilioni 1.50 (Dola milioni 11.61). Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuzidi...
  8. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Duchu: Jina ni langu natamba nao, suala hili lipo kwenye mikono ya sheria, kazini wamechukua hatua

    "Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia jina... wanaosema wamepotezea jina nao wana... wana mashtaka yao, lakini na mimi pia nina mashtaka yangu...
  11. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Suala la Nchimbi kufukuzwa CCM: Vijana msijimalize, kuna kesho!

    Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa. Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani

    Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baada ya Salary Advance kusumbua kidogo tu Kuna watu account hazina kitu. Wahusika toeni msaada wa haraka.

    Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣 Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hili tatizo la mtandao hapa NSSF Ilala Boma ninaloambiwa lipo kwa zaidi ya wiki mbili sasa, ni kweli?

    Ninasubiri mafao yangu kwa mwezi mmoja na wiki mbili hadi leo bila kuyapokea. Tarehe 5 Agosti 2026, nilifika NSSF Ilala Boma kufuatilia suala hilo, lakini nikaelezwa kuwa kuna tatizo la mtandao na nikaombwa kuendelea kusubiri. Leo, tarehe 17 Agosti 2026, nimekwenda tena kufuatilia, lakini...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni suala baya sana kama taifa, utekaji na kupoteza uhai wa raia siyo suruhu ya matatizo ya taifa letu

    Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi. Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao. Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
Back
Top Bottom