mawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Haya maneno mawili ni Kiswahili kilichopotoshwa na GenZ

    Yatumie kwa tahadhari kubwa Tutaco Gutaco
  2. Bin Shaib

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi nianze nacho kati ya haya mawili

    Wapendwa wana JF ,,, habari ya uzima wenu habari za weekend,,, Mungu ni mwema sana namtukuza kwa wema wake. Nina mawazo mawili ambayo yananitatiza maana kuna jambo la kwanza "KUOA" au kununua computer kwaajili ya kurecord Gospel,,,,kazi yangu me nimchoraji wa picha na maandishi pia ni mwalimu...
  3. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  6. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

    INASIFA ZIFUATAZO; Room 3 moja Master, sitting Room, Kitchen,Daining room, Store, public toilet, na jiko, Baraza mbele na nyuma. Ukubwa wa eneo lake ni sqm 380 tu. Maji Dawasa tayari tumevuta yapo Umeme ni kushusha nguzo ipo uwanjani Nyumba ipo mbezi Maramba mchikichini. Kutoka Zinapoishia...
  7. Ritz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati (IRBMs) yakilenga kituo cha U.S.-UK huko Diego Garcia (~4,000 km

    Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal. Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya balistiki ya Iran inayojulikana. Mzee Ali Khamenei. Aliuliwa yeye ndiyo alikuwa hataki vijana wake...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  10. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mbezi Malamba Mawili sqm 800

    Uwekezaji mzuri huu. NYUMBA SAFI 2 ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI NJIA YA KUELEKEA TABATA KINYEREZI NA KUENDELEA. BEI: 260 MILLION MAONGEZI YAPO BOSS. LOCATION MBEZI MALAMBA MAWILI NYUMBA IMEGUSA LAMI PIA KUNA FREM MBILI NJE ZA BIASHARA KILA FREM MOJA KODI LAKI MBILI KILA...
  11. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: "Kama hupati take home ya 6m au 7m na ukataka kuendesha gari lako dsm, kuna mawili, labda we ni mwizi ama mtumwa"

    Hii code ya mtumwa amemaanishi nini?
  13. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Nimepeza majembe yangu mawili ushauri tafadhali nizike nguo au wenda wakarejea?

    Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
  15. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ansbert Ngurumo: Ilikuwa lazima tuue watu ili kuhalalisha Urais wa Samia? Maneno mawili tu yatatuliza hali sasa: Poleni na Tumekosea!

    https://youtu.be/XspoH80_PEY?si=lLo0g68b3JeBsIHs 1. Hivi kulikuwa na ulazima gani kuondoa uhai wa maelfu ya vijana ili kuhalalisha utawala na Urais wa Samia na CCM yake huku akiwa tayari ana ushindi wa 99% hata kabla kura hazijapigwa? 2. Vijana hawa walianza kuandamana kwa amani, wakishangalia...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasunga aahidi kuleta magari mawili kusaidia misiba akichaguliwa jimbo la Vwawa

    MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Vwawa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Japhet Hasunga, amesema akichaguliwa ataendelea kutoa huduma ya gari la kusafirisha miili ya marehemu wanaofariki dunia ndani ya jimbo lake ili kuwapunguzia gharama wafiwa. Aidha Hasunga amesema akichaguliwa tena ataongeza...
  17. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Mambo ni mawili tuingie Road au tuwaachie waendelee kutubagaza na kutubananga .

    Have nice weekend
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani. Awali liliwekwa Tangazo hili hapa Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi? Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
  20. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
Back
Top Bottom