morocco

  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania FALSE Is it true that Court of Arbitration for Sport crowns Senegal African Champion 2025?

  2. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Uhispania ni moja ya Timu ninayoipenda na kuishabikia+Argentina na Morocco

    1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona.... 2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa.. 3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Morocco itatinga nusu fainali kombe la dunia-2026

    Dk.45 Morocco 0 0 France Dk. 65 -75 Morocco 0 1 France Dk.90- 93 (nyongeza ) Morocco 1 1 France Penalty Morocco 5 4 France
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final. Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

    Timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Morocco katika mchezo wa robo fainali. Mabao ya Ufaransa yalifungwa na Kylian Mbappé pamoja na Ousmane Dembélé, ushindi ambao umeihakikishia Les Bleus...
  6. Da Dona

    JamiiForums Tanzania FALSE Morocco's sports Minister said the team doesn't need Africa's support

  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Canada 0-3 Morocco | World Cup 2026 | NRG Stadium | 4 Julai, 2026 | Morocco wanafuzu Robo Fainali

    Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji wenza, Canada, hivyo inasubiri mashindi wa mchezo wa Ufaransa dhidi ya Paraguay. Ushindi huo unaifanya Morocco kuendelea kuandika historia katika michuano hiyo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano pablo martin akabeba ubingwa morocco

    Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba Pablo Martin anaweza kubeba ubingwa wa Botola ligi kama inavyojulikana ligi ya Morocco baada ya kuongoza kwa pointi 56 na wapinzani wake wa karibu RS Berkane na As Rabat wakifuatia kwa pointi 54 kwa 53 ikiwa imebaki mechi moja. Kocha huyu aliondoka Simba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Morocco walikuwa sahihi kutukana, ona tulivyoihaibisha Afrika

    Pole Afrika yangu,Yaani timu tisa zimeingia LAKINI zilizio fanya vizuri zile za waarabu tu Kila kitu kwetu kibaya 1. Magonjwa ya kuambukiza HIV Aids Ebora 2. Vita na ufisadi DRC, sudan,Central africa n.k 3. Udikteta ubinafsi, kungangania madaraka 3. Makanisa ya kitapeli na mashekh matapeli...
  11. M

    JamiiForums Tanzania IGP barabara ya Morocco Mwenge kila siku kuanzia saa 11 Jioni mpaka saa 1 Ni majanga

    Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge. Watu wanakushutumu wewe kuwa Msafara wako wa kutoka kazini, ni sababu mojawapo ya njia kufungwa, ili wewe upite. Hii ni...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Netherlands 1-1 Morocco | World Cup 2026 | Estadio BBVA | Juni 30, 2026 | 10:00 Alfajiri. Morocco afuzu kwa penati 3- 2

    Timu ya taifa ya Morocco anasonga mbele katika hatua inayofuata baada ya kumuondoa Uholanzi kwa mikwaju ya penati 3 kwa 2 Morocco linemekuwa taifa la kwanza kutoka Afrika kusongea hatua nyingine Je watafikia rekodi yao ya mwaka 2022 ya kufika hadi nusu fainali? ====== Uholanzi na Morocco...
  13. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Siteseki na Tunisia wakishika Mkia World Cup! Furaha Yangu ingekuwa Kuona Morocco na South Africa wakiwa Pamoja Nao

    Ukiangalia picha iliyo hapo chini, utaona mstari mwekundu uliokatishwa ukimtenga Tunisia chini kabisa akiwa na alama 0 na idadi ya mabao -10 huko kwenye mashindano ya kombe la Dunia. Ki-soka, unaweza kudhani hili ni janga. Lakini ki-uhalisia, na kwa mtazamo wa Kipan-Africanism na siasa za...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Morocco 4-2 Haiti |World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Juni 25, 2026

    Morocco naona anafunzu kwenda hatua ya 32 bora ya Kombe la dunia 2026, labda wajisaliti wenyewe ======= Suluhi ya 1-1 ambayo Morocco walipata dhidi ya Brazil kwenye mchezo wa kwanza inamaanisha kuwa kinara wa Kundi C anaweza kupatikana kwa kuangalia idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa (goal...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania FALSE Is this shows Brazil Vs Morocco 2026 World Cup highlight?

  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Scotland 0-1 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Juni 20, 2026 | 7:00 Usiku

    Leo kivumbi kingine kwa Morroco baada ya kumkalia kooni Brazil mechi ya kwanza. Sina wakumshabikia hapa. Ila nataka wafungane mkeka wangu uendelee kupumua tu
  17. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE 🇲🇦 MOROCCO 💪🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

    Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there. Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku. Katika hali...
  19. K

    JamiiForums Tanzania AFCON U-17 Morocco: Kauli ya Miraji Maramoja “Tuwaache Tusiwaingilie” Imekuwa Unabii Uliotimia Serengeti Boys?

    Wakuu salamu, Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji Maramoja, alitoa kauli fupi lakini nzito sana: “Tuwaache tusiwaingilie.” Wakati ule, wengi walichukulia...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
Back
Top Bottom