ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni Paul Makonda Tenaa Apakwa Mafuta Na Mungu katika Ulimwengu Wa Kiroho.

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania. Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama Ulimwengu Jenerali Kasema mimi ni nani kubisha?

    Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana. Hivi karibuni, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Habari Duniani (IDUAI)...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

    Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama. Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na jinsi ulimwengu wao unavyoingiliana na maisha yetu ya kiroho. Watu wengi hudhani kifo ni mwisho wa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

    Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ? Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Chaumma walipata kura ngapi kuwawezesha kupata wabunge viti maalum?

    Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Picha mbalimbali za Ndege wanaopatikana ulimwengu

    I real love birds
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

    Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao. Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Sehemu Pekee Akishikwa Anajihisi Ulimwengu ni wake Mwenyewe!

    Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- 40 na kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa ! Vijana mnaoishi kingono na wanawake, na wanawake mliowekwa kimada fanyeni mpango mfunge ndoa, si...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi...
  11. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Vizazi vyenye Bahati toka kuumbwa kwa ulimwengu, Je kwanini sio kizazi chetu hiki ?

    Wakuu salama. Tafakari kizazi Adam na Hawa kabla ya dhambi, Ebu assume walivyokula bata. Tazama kizazi kipindi cha Yesu Kristo (Mungu katika mwili) na mtume Mohamad (mwenye kheri na utukufu) angalia watu walivyoshuhudia miujiza na matendo makuu ya Mungu. Tazama kizazi kitakachoona mwisho wa...
  12. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni uvumbuzi upi unakushangaza sana katika ulimwengu wa teknolojia?

    As salaam alaykum. Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome. Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye interview hii atuwekee hapa in full...Warioba na Jenerali Ulimwengu

    Hii hapa excerpt
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mahojiano kati ya Jaji Sinde Warioba na Jenerali Ulimwengu atuwekee hapa please

    Mwenye fill interview atuwekee hapa please
  15. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Siri Za Ulimwengu Za Fichuka

    Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu. Kachukue nakala yako mwenyew ndani . Freebibleaccess doti kimu Kajionee mwenye mambo ambayo yalifichwa au taarifa zilizofichwa zisipatikane kwa kila mtu
  16. Diwani

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  17. Street brain

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Maridhiano ya nani na nani? CHADEMA ipo lockup Ukonga

    "CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
  20. K

    JamiiForums Tanzania Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

    Kwa wenye uzoefu wa biashara tu. Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo watafurahia hicho kitendo Umewahi kuona viongozi wa chama tawala wana maisha mabovu? Unaijua kazi...
Back
Top Bottom