Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika.
Amesema mfumo hupanga waombaji...
Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU?
1. Polisi
2. CCM
3. Bakwata
4. Malasusa
5. ACT ( baadhi excluding Ado Shahibu)
6. Mahakama
Ongezea.....
Bottomline ni kuwa yeyote asiyekemea maovu yanayoendelea Tanzania ni...
Wana JF habari,
Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na...
Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video.
Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu .
Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili.
Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira.
“Wanawake hawapo pembezoni mwa...
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
Je,
ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia?
Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wizi
wizi wa magari
Ndugu zangu,
Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
Anonymous
Thread
katika
kuhusu
kundi
kutoka
mauaji
mjadala
tunduru
vita
wafugaji
wakulima
wilaya
Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime).
Tunaelekezwa kutembelea maeneo ya kazi (sites) katika wilaya nzima bila kupewa usafiri wala malazi...
Anonymous
Thread
binafsi
halotel
katika
mamlaka
sauti
tabora
wafanyakazi
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
🦁 Vifo vya wanyamapori
🐄 Kupotea kwa mifugo kutokana na mashambulizi ya wanyamapori
☠️ Binadamu kulipiza kisasi kwa kuua wanyamapori
🌿 Uharibifu wa mazingira na makazi ya wanyamapori
💧 Ushindani wa maji na malisho(CHAKULA)
🦠 Kuenea kwa magonjwa kati ya mifugo,wanyamapori na Binadamu
🌍...
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
Anonymous
Thread
afya
hatua
janga
kabla
katika
mamlaka
mpya
nchini
sura
tishio
tishio kwa afya
vijana
viroba
Alfajiri na mapema Vivian Njie mwenye umri wa miaka 89 aliwasha jiko lake la kuni katika mtaa wa Mbende, mji wa mapumziko wa Limbe uliopo Mkoa wa Kusini-Magharibi mwa Cameroon. Safari hii, sufuria iliyokuwa juu ya jiko haikuwa tupu.
Ndani yake, mchele mweupe wa punje ndefu uliotolewa na China...
Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama.
Lakini pia uhakika wa usalama...
Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.