Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible.
Aisee nimecheka baada ya kulia
Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu.
Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye...
Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo la kudumu.
Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya kusubiri bajeti kuu ya serikali ili kutatua changamoto ya ukosefu wa madawati na miundombinu mashuleni...
Wakuu,
Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi
========
Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro
"Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa...
https://www.youtube.com/watch?v=AnVvgfeCJ4M
Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala
Hii ni Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya JKCI, Maabara ya Kisasa, Jengo la Utawala na Uchunguzi wa Magonjwa ya Moyo na Kitabu cha safari ya Upandikizaji wa Moyo, leo...
Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi wa huduma za afya.
Akizungumza leo bungeni Dodoma wakati wa kuwasilisha bajeti ya...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27 Fungu 52.
Mchengerwa ameyasema hayo leo Mei 11, 2026 Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha...
Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika.
Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
Wizara ya Afya pamoja na taasisi zake imeendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya nchini kupitia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali za afya kwa wananchi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa leo Mei 11, 2026, wakati...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”.
Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
Hili liko wazi
Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa
Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika.
Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri...
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali.
Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya...
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
Akizungumza Februari 2, 2026, katika kikao kazi na wahariri wa vyombo vya...
Kinachosumbua mawaziri wengi kwa sasa ni namna gani wanafanya shughuli zao kwa mujibu wa matakwa ya mgawanyo wa madaraka na utendaji kazi.
Wengi wa mawaziri wanaacha kujikita katika kubuni na kushawishi mabadiliko ya Sera na muelekeo wake na badala yake wanajigeuza kuwa watu wa kurepond kwenye...
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.