uae

The United Arab Emirates (UAE; Arabic: الإمارات العربية المتحدة‎ al-ʾImārāt al-ʿArabīyah al-Muttaḥidah), sometimes simply called the Emirates (Arabic: الإمارات‎ al-ʾImārāt), is a country in Western Asia located at the eastern end of the Arabian Peninsula. It borders Oman and Saudi Arabia, and has maritime borders in the Persian Gulf with Qatar and Iran.The UAE is an elective monarchy formed from a federation of seven emirates, consisting of Abu Dhabi (which serves as the capital), Ajman, Dubai, Fujairah, Ras Al Khaimah, Sharjah and Umm Al Quwain. Each emirate is governed by a Sheikh and, together, they form the Federal Supreme Council; one of them serves as President of the United Arab Emirates. In 2013, the UAE's population was 9.2 million, of which 1.4 million were Emirati citizens and 7.8 million were expatriates; the estimated population in 2020 was 9.89 million.Islam is the official religion and Arabic is the official language. The UAE's oil and natural gas reserves are the sixth- and seventh-largest in the world, respectively. Zayed bin Sultan Al Nahyan, ruler of Abu Dhabi and the country's first president, oversaw the development of the Emirates by investing oil revenues into healthcare, education, and infrastructure. The UAE's economy is the most diversified of all the members of the Gulf Cooperation Council, while its most populous city, Dubai, is a global city and international hub. The country has become less reliant on oil and gas, and is economically focusing on tourism and business. The UAE government does not levy income tax, although there is a corporate tax in place and a 5% value-added tax was established in 2018.The UAE is recognised as a regional and a middle power. The UAE is a member of the United Nations, the Arab League, the Organisation of Islamic Cooperation, OPEC, the Non-Aligned Movement, and the Gulf Cooperation Council (GCC).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  2. Ritz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UAE yaipa Iran dola bilioni 3, ikakubali kutoa dola bilioni 10 zaidi wasiwashambulie - Reuters

    Wanaukumbi. Falme za Kiarabu tayari zimewasilisha takriban dola bilioni 3 kwa Iran na kukubali kutoa mabilioni zaidi chini ya mpango unaolenga kusimamisha mashambulizi ya Iran dhidi ya taifa la Ghuba ya Uajemi, Reuters iliripoti ikinukuu vyanzo vinne. Vyanzo viwili vya kikanda vilisema UAE...
  3. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UAE Suspends visas for Ugandans amid ebola concerns

    The United Arab Emirates (UAE) has suspended the issuance of all new visas for nationals from Uganda, the Democratic Republic of Congo (DRC), and South Sudan, a move that has left dozens of travelers stranded at Entebbe International Airport. (video courtesy of Daily Monitor) The...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania UAE na QATAR wanashirikisha wa-kuitwa makafir ili utajiri wao ukuwe ila wanamwaga pesa kwa walala hoi wabaki na dhana ya kumchukia kafir na kugombana

    Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi wazungu wako lukuki huko saudia wanafanya projects za maendeleo Utakutana na wayahudi wamefanya...
  5. mayakhan

    JamiiForums Tanzania Hiring Trends for Freshers in UAE (May 2026) - What's actually working right now?

    Hi everyone, I wanted to ask about the current job market in Abu Dhabi. A lot of my friends who are fresh graduates have been applying on LinkedIn and Indeed for months, but mostly getting automated rejection emails because they don't have 2-3 years of UAE experience. Some people are...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

    Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+. Uamuzi huu utaanza kutumika rasmi tarehe Mei 1, 2026. *****  UAE (kupitia Abu Dhabi) ilijiunga na OPEC mwaka...
  7. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania How UAE and Israel “stole” rains from Jordan, Iraq and Iran

    In the year 2011, the former Iranian president Mahmoud Ahmadinejad said: "They are stealing our rains." No one believed him. How Were the UAE and Israel Stealing Jordan's, Iran's, and Syria's Rain? The theory circulating to explain the increase in rainfall in Iran, especially after the recent...
  8. The Dictator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UAE, Kuwait zasema 4 wauawa, 90 wajeruhiwa katika mashambulizi ya Iran

    Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran. Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

    TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuombaomba sasa kumewekwa rasmi kuwa ni kosa la jinai United Arab Emirates

    Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na faini ya dirham 5,000 (AED 5,000). Tangazo hilo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kudhibiti mwenendo...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumanne inaingia huenda kwa kishindo tokea UAE!!

    Kwa kweli kama ni hivi inaweza badili kabisa the dynamics za geopolitics za middle east. Rais wa UAE na Mtawala wa Abu-Dhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan alikuwa mtawala thabiti dhidi ya Siasa Kali za Kiislamu na Muslim Brotherhood, Aliwapigania Wayahudi waishi kwa Amani Dubai, alijitahidi...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  15. Il Padrino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha Uhasama baina ya Saudi Arabia na UAE

    Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
  16. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somalia yakatiza uhusiano wa kidiplomasia na Umoja wa Falme za Kiarabu

    Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la mawaziri siku ya Jumatatu, Baraza la Mawaziri limesema kuwa limebatilisha mikataba yote iliyofikiwa na...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na UAE zatunishiana misuli kisa Yemen

    Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen. Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili. ------++- DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
  18. Kijakazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa UAE alivyoonya Serikali za Magharibi na Wakristo kuhusu Waarabu na Waislamu

    Huyo waziri wa mambo ya nje wa UAE, mwarabu 100% anawaonya westerners na Christians wanao entertain arabs na muslims, Msikilize mwenyewe, msiseme hamkuambiwa. Hakuna muslim zaidi ya huyo. Dont give these people the benefit of the doubt, there up to no good
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haina cha kujifunza uarabuni UAE katika demokrasia na uongozi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed walifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash katika ofisi za...
Back
Top Bottom