Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani.
Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja.
Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa.
Baada ya kusikiliza...
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA.
Ndugu Viongozi,
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
Kwa:
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI)
na Uongozi wa VETA
Ndugu Viongozi,
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA
Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
Mbona kama hii issue ipo serious sana aise.
Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu.
Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe.
Vipi kwenu huko?
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026.
Kwa...
Maandamo yaliyofanyika tarehe 29 October 2025 yalifanikiwa kufanyika kwa sababu maandamano yalikuwa yameunganishwa na tukio kubwa la kitaifa ambalo ni uchaguzi.
Kwa kuwa 29 Oktoba ndiyo ilikuwa siku ya uchaguzi, watu wengi walikuwa tayari wako nje ya nyumba zao, vituo vya kupigia kura na...
Kuna Hawa matrafiki wa Ulanga, Morogoro, especially wanaokaa mara tu baada ya Kuvuka Daraja la Kilombero (kivukoni) ukitokea Ifakara.
Either warudi kozi wakasome mishahara ipande, au wajishughulishe na kilimo cha Mpunga, wanaomba hadi aibu.
Kuna kazi ni kujiaibisha, baba kaenda kazini, kumbe...
Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
BARUA YA MALALAMIKO
Tarehe: 17 Septemba 2026
KWA:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,
S.L.P. 10,
DODOMA.
YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA
Ndugu Katibu Mkuu,
Tunakuandikia kuwasilisha...
Anonymous
Thread
barua
dodoma
elimu
form six
format
katibu
katibu mkuu
kuhusu
malalamiko
mkuu
mpya
mtaala
mtaala mpya
mtihani
sayansi
sayansi na teknolojia
septemba
tarehe
teknolojia
wizara
wizara ya elimu
Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu.
Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na bodi hii leo Septmba 12, 2026, Bodi imeeleza kuwa ni kinyume cha...
Shahidi John Heche tayari amewasili mahakamani, ni siku nyingine tena tunaendelea kupambana na kesi ya uhaini ya Mh. Tundu Lissu aliyopewa na Jamhuri
Kaa tayari kwa updates
=======
Leo September 15, 2026
Last time tuliishia Sehemu ya 417
Sehemu ya 418
Majaji wameingia muda huu hapa...
Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"!
Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
Nchi hii ina wasomi wengi sasa.
Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe.
Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na...
Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui.
Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha...
dkt. mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkutano
mkuu
mkuu wa
muungano
muungano wa tanzania
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
septemba
singida
tanzania
tarehe
waziri
waziri mkuu
dkt. mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkutano
mkuu
mkuu wa
muungano
muungano wa tanzania
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
septemba
singida
tanzania
tarehe
waziri
waziri mkuu
Huyu amesahaulika haraka zaidi kuliko Polepole.
Hakuna sauti za kuuliza TU wapi Makamu wetu,au Free him,kama ilivyokua Kwa wengine,mfano Malisa.
Alisema atajiuzuru rasmi tarehe 4-9-2026 Kuna yoyote ameshuhudia akikabidhiana ofisi?
Huyu tumekwishampoteza tayari,huenda tusimuone Tena.
Kirahisi TU.
Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti.
Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za maisha, huku madeni yakizidi kutuelemea. Haya ndiyo malipo tunayoyategemea kwa ajili ya kuendesha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.