mkuu

 1. M

  Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

  Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali. Hongera kwake kwa uteuzi!!
 2. Nafaka

  Hivi kutoka kuwa Mkuu wa JKT mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa ni kupanda au kushuka?

  Nimeona Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Je, amepanda au ameshuka?
 3. Chizi Maarifa

  Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

  Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
 4. rosemarie

  Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

  Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
 5. Chizi Maarifa

  Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

  Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa. Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
 6. M

  Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

  Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi, Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu. Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
 7. Ngamanya Kitangalala

  Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

  Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi. Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu...
 8. J

  Askofu Shoo: Waziri Mkuu tunaomba Serikali itupunguzie mzigo wa kodi kwenye shule na hospitali zetu, Tumeelemewa

  Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea. Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
 9. msovero

  Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

  Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku. Msikilize kwenye video hapa chini...
 10. Tumaini CN-CNB

  Utalii-Ukuta Mkuu wa China

  UKUTA MKUU WA CHINA 中国的万里长城 THE GREAT WALL OF CHINA Kimetungwa na Luo Zhewen (罗哲文)na Zhao Luo (赵洛) Kimetafsiriwa na Tumaini UTANGULIZI Kwa wageni, “Ukuta Mkuu” hutajwa pamoja na China. Katika kitabu cha jiografia cha shule za msingi, wanafunzi walisoma habari kuhusu Ukuta Mkuu...
 11. S

  Kuongeza wigo wa kodi na makusanyo: Serikali ibuni vyanzo vipya na Mkurugenzi Mkuu wa TRA na waajiriwa wapya wa TRA waajiriwe kwa mikataba

  Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
 12. J

  Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

  Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
 13. B

  Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

  Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
 14. GENTAMYCINE

  Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

  Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
 15. kavulata

  Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

  Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine. Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
 16. T

  Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

  NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini. Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
 17. Zanzibar-ASP

  Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

  Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako. Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa...
 18. Erythrocyte

  Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

  Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
 19. Jon Stephano

  VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

  Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
 20. J

  Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

  Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
Top Bottom