"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Na nasikia anatamani mno na sana Kumjua GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" ili amuulize anataka ampe Cheo gani ili amsaidie na alisaidie Taifa lake Tukuka.
Haters msichoke Kunichukia JF Okay?
Baada ya kumaliza sala za asubuhi naingia zangu kwa mama Pima kupata chai. Nakuwa mteja wa kwanza kufika hapo. Mama Pima anabaki akinikodolea macho! Namuuliza chai vipi? Au hauuzi? Anaamua kunichemshia kikombe kimoja cha chai ya majani machungu na kiporo cha chapati mbili. Nampisha afanye usafi...
Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka.
Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga.
1. Madam Shija
Huyu ni wife material ila baada ya kwenda kwao nikakuta nyumba yao ni kama banda la kuku na...
Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo.
Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni.
imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina...
Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
Wanajamvi habari za wasaa huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata bumper la rav 4 (old model), lile lenye chrome ya silver na fog light.
Barcelona iliyoundwa na Valdes golini.
Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal.
Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta.
Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry.
Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
Serikali inatarajia kuongeza 7% sawa na Tsh. Trilioni 2.9 ya Makusanyo kwenye Matumizi ya Fedha za Bajeti ya mwaka 2023/24 ili kufikia Tsh. Trilioni 44.38 kutoka Tsh. Trilioni 41.48 ya mwaka 2022/23.
Tsh. Trilioni 26.72 zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Kodi na kiasi...
March inaenda kwa speed...je zile resolution tulizojiwekea zinaendaje? Wale wa gym mmeanza? Wale wa diet...beer na nyama choma tumepumzisha? Na zile financial goals vipi? Biashara tumeanzisha au bado team mshahara tu?
Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali Kwamba huyu ndio wakati wa kuonyesha Tanzania ni Bora kuliko Taifa lolote na kwamba tulipoondoka Tz...
Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao.
Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips...
RAIS SAMIA: WANAOANZA BIASHARA HAKUNA KULIPA KODI MWAKA MZIMA.
Na Bwanku M Bwanku.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kibali cha kuwawezesha Watanzania wote wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha mwaka mzima mpaka biashara zao...
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%.
#WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Takriban 20% ya Watoto na Vijana duniani wana Tatizo la #AfyaYaAkili, ikiwa ni sababu ya Pili kwa kuchangia Vijana wenye miaka 15 hadi 29 kujiua duniani.
Pia, katika kila kundi la Watu 5 waliopo kwenye mazingira yenye Vurugu, mmojawapo anakabiliwa na...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa watu hao wanatarajiwa kuwa na matatizo ya usikivu wakati Watu Milioni 700 watahitaji tiba ya matatizo ya usikivu.
WHO linaeleza kuwa zaidi ya vijana wadogo Bilioni 1 wapo kwenye hatari ya kukumbana na upotevu wa kusikia unaoweza kuepukika.
=========...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.