kazi

 1. Lawrance franci

  Tunauza mashine ya kukandia unga wa ngano

  Pre/Order:-MASHINE YAKUKANDIA UNGA.⁣ Hii ni mashine yakukandia unga wa ngano kwaajili ya kazi mbalimbali kama vile keki,mikate,maandazi nk⁣ Zipo size tofauti tofauti na bei ziko tofauti tofauti angalia kwenye picture bei zake na size zake.⁣ KARIBUNI SANA.⁣ ⁣⁣ Tunaleta bidhaa hii kwa ODA TU
 2. technically

  Kituo cha kazi cha Rais Magufuli ni Chato, Magogoni au Dodoma?

  Maana akikaa Dodoma wiki anaenda Chato anakaa mwezi anakuja Dar kuapisha mabalozi anakaa wiki 3. Hivi pesa za walipa kodi kiasi gani zinapotea kwa huu uzembe wa kuishi ikulu tatu kwa wakati mmoja? Watanzania waambiwe ukweli kama pia Ikulu ya Dodoma haikaliki maana huu ni kama utapeli na...
 3. Analogia Malenga

  UN: Takriban watu nusu bilioni hawana kazi nzuri ulimwenguni

  Watu milioni 470 ulimwenguni kote hawana ajira kabisa au hawana kazi nzuri ya kuwawezesha kujenga mustakabali bora. Hayo ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la Kazi Duniani ILO Umoja wa Mataifa umesema kuwa watu milioni 470 kwa sasa ulimwenguni kote hawana ajira kabisa au...
 4. Analogia Malenga

  DRC Rais Felix Tshisekedi atishia kuwafuta kazi Mawaziri

  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na hata kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa rais wa zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau. Tshisekedi amesema kuna baadhi ya Mawaziri ambao...
 5. Mung Chris

  Laini nyingi sana za M-Pesa na Tigopesa hazitafanya kazi kuanzia leo

  Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
 6. Analogia Malenga

  Mfahamu mfanya usafi aliyefukuzwa kazi na kugeukia kilimo kinachompa mamilioni

  Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena. Mlimbila aliamini ndoto zake kiuchumi zimekufa kwa sababu ya kuondolewa kazini alikokuwa ameajiriwa kama mfanya usafi. Elimu yake ya darasa la saba ilimpa msongo wa mawazo...
 7. othiambo

  Hivi vitambulisho vya Askari/ Wanajeshi vina kazi gani kwa raia?

  Hali zenu waungwana. Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi? Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
 8. FRANC THE GREAT

  Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais

  Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa. Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
 9. C

  Nafasi za kazi

  nafasi za kazi ya kufundisha masomo ya sekondari sayansi; physics, biology & chemistry. unaweza kufanya kazi kwa muda wako wa ziada popote ulipo bila kuathiri ratiba zako za kawaida...? tuma jina lako na masomo unayofundisha kupitia namba hii 0624226549...!!!!!
 10. FRANCIS DA DON

  Nimekuta mkia wa nguruwe umefungashwa na kinda la ndege, kazi yake nini?

  Na vitu vya aina hii huwa nakutana navyo kwenye kila site mpya ya ujenzi ninayoenda, huwa vinakazi gani hivi vidude? Nimeambatanisha picha na video.
 11. K

  Naomba kubadilishana kituo cha kazi

  Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa, kwa taarifa njoo PM
 12. J

  Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita anaendelea na kazi zake kama kawaida

  Meya wa Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita anaendelea na majukumu yake ya kimeya katika ofisi zake zilizoko Karimjee kama kawaida. Mtangazaji wa ITV Juma Kapalatu amethibitisha hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi ya Lord Mayor Dar es salaam Source: ITV Habari
 13. Jamii Opportunities

  Nafasi ya kazi ya Tutor or Instructor Chuo cha NIT

  Post: Tutor/ Instructor II in Welding Technology 1 post Post Category (s) Engineering and Construction EMPLOYER: National Institute of Transport (NIT) Duties and Responsibilities i. Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels; ii. Conduct...
 14. Jamii Opportunities

  Nafasi ya kazi ya Uuguzi Mwiba Holdings Limited

  Mwiba Holdings Limited is registered Tanzanian Company under Companies Ordinance (Cap. 212) and a leading Hospitality company with its Operations in Arusha, Meatu-Simiyu and Mara Regions. We are currently looking for a Nurse to be part of our Team providing medical assistance to internal and...
 15. I

  Mr. Nice: Harmonize usirudie tena kuiba kazi yangu bila ridhaa yangu

  Msanii legend wa music wa bongofleva Mr Nice ameshangazwa na msanii Harmonize kuchukua vionjo wa wimbo wake kin'gasti Kwenye wimbo "Hainistui" bila kuniomba wala makubaliano. Wakati Mr Nice akihojiwa amefunguka unajua kuchukua vionjo au beat au mistari ya msanii mwingine kwa kumuomba au kuingia...
 16. miss zomboko

  Samsung yatengeneza binadamu wasio halisi wenye uwezo wa kufanya kazi kama binadamu wa kawaida

  Kampuni ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasioasilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu katika maeneo mbalimbali ya miili yao kama sura na muonekano, kuonyesha hisia, tabia na akili na pia wana uwezo wa kuzungumza na kubadilishana nae...
 17. Erythrocyte

  Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

  Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January, huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi. Chanzo: Watetezi TV
 18. I

  Natafuta kazi nina Shahada ya pili ya Takwimu

  Habari wana jamvi. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya pili katika Takwimu, natafuta kazi sehemu yoyote Tanzania.
 19. Erythrocyte

  Kazi imeanza: Halima Mdee kuongea na Waandishi wa Habari

  Mwenyekiti wa BAWACHA , jumuiya ya wanawake inayosemekana kuwa na nguvu kuliko jumuiya yoyote ya aina hiyo barani Africa , Mh Halima Mdee atazungumza na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Jumatano hii. Wote mnakaribishwa
 20. beth

  Finland: Waziri Mkuu Sanna Marin apendekeza siku nne za kufanya kazi

  Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi wawe na fursa kuwa na familia zao kwa muda mrefu zaidi na kufanya mambo mengine ya jamii ikiwemo michezo na utamaduni. Marin, akiwa kiongozi mkuu wa serikali mdogo kuliko wote duniani...
Top