bahari

Maziar Bahari (Persian: مازیار بهاری‎; born May 25, 1967) is an Iranian Canadian journalist, film maker and human rights activist. He was a reporter for Newsweek from 1998 to 2011. Bahari was incarcerated by the Iranian government from June 21, 2009 to October 17, 2009, and has written a family memoir, Then They Came for Me, a New York Times best seller. His memoir is the basis for Jon Stewart's 2014 film Rosewater. Bahari later founded the IranWire citizen journalism news site, the freedom of expression campaign Journalism Is Not A Crime and the street art and social justice project Paint the Change.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo. Baadhii ya watu husema...
  2. Ritz

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  3. bizzle for shizzle

    INAUZWA Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Bahari Beach

    Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa...
  4. bizzle for shizzle

    KIWANJA KINAUZWA BAHARI BEACH

    kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia kimezungushiwa ukuta Pamoja na gei Kipo umbali wa meter 600 kutoka BARABARA ya lami KINAUZWA TSH 400...
  5. Webabu

    Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  6. Webabu

    Je, Houth ndiyo waliokata nyaya tatu za intaneti chini ya bahari ya Red Sea?

    Kuharibika kwa nyaya tatu za intaneti za chini ya bahari kumetajwa kuathiri karibu robo ya data za intaneti kwa maeneo ya mashariki ya kati,Ulaya na maeneo ya Asia. Kukatika kwa nyaya hizo kumepelekea kizaazaa kwa wasambazaji data hizo ambapo wamelazimika kuzichepusha njia karibu robo ya data...
  7. Webabu

    Kwa sasa meli zinazopita red sea ni zile zinazotoka bahari nyeusi kwa warusi na zinazoelekea Iran pekee

    Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth. Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea Iran.Nyengine ni zile zinazotoka ama kwenda bahari nyeusi ambako ndiko ziliko bandari kubwa za...
  8. L

    Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi hayawezi kumaliza mgogoro katika Bahari Nyekundu

    Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi. Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
  9. Jamii Opportunities

    Request For Proposal at USAID Heshimu Bahari February, 2024

    USAID Heshimu Bahari (Respect the Ocean) Project Request For Proposal Electronic Monitoring HO.PO.OQ4 USAID Heshimu Bahari (Respect the Ocean) is a five-year (2022-2027) project financed by USAID and implemented by Chemonics International and partners. The goal of the project is to strengthen...
  10. Ritz

    Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu

    Wanakumbi. Waasi wa Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu katika muda wa saa 24 zilizopita Ndege ya Jeshi la Wanamaji la Uingereza HMS Diamond iliripotiwa kuharibiwa vibaya. Ingawa Uingereza inakanusha uharibifu wowote, meli iliondolewa kutoka eneo...
  11. I

    UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  12. L

    Marekani inapaswa kuacha kuongeza chuki katika suala la Bahari ya Kusini ya China

    Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote. Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
  13. Webabu

    Bahari imechafuka.India wameingia kuokoa meli karibu na Somalia.

    MV Lila Folk nusura ichukuliwe na wanamgambo wanaodhaniwa wa Somalia.Wanamaji wa India walipata mwito wa shida baharini kutoka meli hiyo na haraka kwenda kuiokoa. Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia na ilikuwa iko masafa ya 460 nautical miles kutoka Somalia katikati ya bahari ya...
  14. Ritz

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limekimbia Bahari Nyekundu Licha ya Mashambulizi ya Houthi

    Wanaukumbi. Vikosi viwili vya Jeshi la Wanamaji la Marekani ambavyo vilitumwa kwenye Bahari Nyekundu ili kuwazuia waasi wa Houthi wanaoshirikiana na Iran sasa vimeondolewa kwenye bahari ya Mediterania, ingawa mashambulizi ya vikosi vya Houthi yanaendelea bila kusitishwa. Siku ya Alhamisi, USS...
  15. Ritz

    Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

    Wanaukumbi.. Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani.. Ukosefu wa...
  16. MK254

    Mataifa 20 sasa yatia saini kuilinda bahari Nyekundu dhidi ya magaidi, Iran inazidi kutengwa

    Hawa magaidi wa kidini pamoja na mfadhili wao Iran wanazidi kuwekwa kwenye msalaba, mataifa 20 yote kulinda hilo bahari. =================== More than 20 countries have joined the US-led coalition to protect Red Sea shipping from attacks by Yemen’s Houthi rebels, the Pentagon says. The...
  17. Ritz

    China wamekataa kujiunga na Jeshi la Bahari Nyekundu linaloongozwa na Marekani

    Wanaukumbi. The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi militias. China did not join the coalition, named Operation Prosperity Guardian. It includes the EU, NATO...
  18. Ritz

    Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  19. Webabu

    Oman yajiweka kimbelembele kutaka Houth waache kushambulia meli zipitazo bahari nyekundu

    Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb. Mohamed Abdel-Salam hakutaja huo upande wa pili katika mazungumzo hayo lakini akasisitiza kuwa msimamo wa...
Back
Top Bottom