wapi

 1. T

  Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

  Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
 2. B

  #COVID19 Corona: Vituo vya Chanjo vinapatikana wapi?

  Ni jambo la kheri kuwa sasa hatma ya maisha yetu iko wazi zaidi ndani ya gonjwa hili hatari. Tufahamishane vilipo vituo vya Chanjo hii pendwa kutoka kwake beberu mwingi wa huruma kuliko wenzetu wazaliwa nasi. Mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, tarafa kwa tarafa, kata kwa kata au hata kijiji kwa...
 3. F

  Mbunge Aida Khenani yuko wapi?

  Tangu CHADEMA wameanza kampeni zao za Chadema digitali hadi ya Katiba Mpya huyu Mheshimiwa sijamsikia. Viongozi na wanachama wenzake wanawekwa ndani lakini yuko kimya. Mwenyekiti wake anafunguliwa mashtaka ya ugaidi bado yuko kimya. Lakini wakati haya yanaendelea anafungua mashindano ya Aida...
 4. B

  Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

  Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
 5. Thailand

  Story of Change Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

  Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
 6. Mtafiti77

  Uhandishi uu humetoka wapi?

  Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
 7. dist111

  Msaada: Xiaomi/Oppo zinapatikana wapi?

  Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning. Msaada wenu utazingatiwa sana. Natanguliza shukran
 8. M

  Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

  Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa. Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
 9. MSAGA SUMU

  Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

  Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
 10. Behaviourist

  Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

  Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana. Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi? Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
 11. Jidu La Mabambasi

  Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

  Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
 12. REJESHO HURU

  Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu mnakwama wapi?

  Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo. Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini. Haya bodi wenyewe makao...
 13. TODAYS

  Waandaaji Zanzibar International Marathon mlikwama wapi?

  Twende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza nawapongeza kwa hatua nyingine baada ya miaka zaidi ya kumi na kenda ya kupotea kwa mbio hizo na mwaka huu kuamua kuzirudisha kwa nguvu. Unapozipa mbio jina la International ina maana unategemea kuwa tofauti na zile za kina Goba, Meru, sijui Ushoroba nk...
 14. muzi

  Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

  Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
 15. Triple G

  Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

  Wakuu Salama! Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani?
 16. J

  Story of Change Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

  Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
 17. sky soldier

  Ninakosea wapi? Au biashara ni kipaji?

  Hbarini wafanyabiashara. Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge. Nikaona nifungue steshonari nimweke dada wa kazi awe ananisaidia, sikutaka kukopa hivyo nikafikiria nifungue biashara ambayo...
 18. Mung Chris

  Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

  Hizo hapo za kuku wa mayai wanauza wapi na kwa bei gani
 19. T

  Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

  Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
 20. KISIWAGA

  #COVID19 Viwapi virus vya SA, UK & Brazil

  Wadau, Kama mnavyokumbuka kuna kipindi viliibuka aina mpya za virusi vya korona vya kutoka South Africa, Brazil and UK. Virus hivi hasa kile cha SA vilisemekana kuwa hatali zaidi na kuna baadhi ya nchi zilifikia hatua ya kisotisha safari zote kwenda SA Muda umekwenda kwa sasa hatusikii...
Top Bottom