Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:
Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.
Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
Habari zenu wanajukwaa la MMU,
Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja.
Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu.
TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana.
Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa.
Sasa...
1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni.
2. Viongozi wanaoanzisha choko choko na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao
3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
Naomba kufichua suala linalowakumba baadhi ya wateja wa SportyBet. Kumekuwa na hali ambapo, kwa mfano, mechi za Real Madrid na Viking zinawekwa void baada ya wateja kushinda, huku fedha zikikatwa au kuondolewa bila maelezo ya wazi wala taarifa kwa wateja.
Kinachoshangaza ni kwamba fedha...
Wenyewe mnaona katika misimu miwili iliyoisha, Ubingwa unaenda kujilikana mpaka siku ya mwisho kwa maana ya kuwa tofauti ndogo kabisa ya Point zisizodi 3 ndio huwatengenisha na Mabingwa.
Najua uamauzi wa kusajili na kuandaa timu vizuri mnalichukulia kwa Uzito ili kufanya vizuri mashindano ya...
Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake.
Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
Kwenye pakti za premium condom zenye brand nzuri na bei ya juu kama rough rider, Kiss na bull huwa ziko condom tatu.
Ulishajiuliza kwa nini?
Ni lwa sababu ili uichape na achapike hadi kuridhika lazima uende round angalau tatu kwa mechi moja.
Sasa wewe jiroge uende chini ya hizo utatafutiwa...
Wakuu kwema lakini?
Nataka nicheki game la Morocco na wazungu full game, acha pes. Ni really yenyewe! Naombeni mnisaidie kwa hilo. You tube kila nikifungua nakutana na clip not really
Morocco forever ♥
Huyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M.
Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri.
Alibet Ureno atafunga magoli ma3 kabla half time na sasa hivi ureno wanaongoza 2-0 dakika ya 25 najuwa...
Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao
MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨
"Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa magumu haya. Kuna timu kama zingekuwa zinafanyiwa hivi, sasa zingekuwa daraja la pili huko...
Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka.
Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.