tanzania bara

The Minister of Finance is the head of the Ministry of Finance and Economic Affairs of the Government of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  2. H

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia 4. Kiungo...
  3. K

    Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  4. mdukuzi

    Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  5. Suley2019

    BASATA Watangaza kusitisha Shughuli za Sanaa na sherehe katika kumbi 504 Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA. Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
  6. G

    Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  7. BARD AI

    Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
  8. Lord denning

    Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  9. Lord denning

    Siku si nyingi, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutelekeza miradi ya maendeleo

    Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana. Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana. Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi...
  10. Mhaya

    Magazeti: Zanzibar yazidi kuneemeka, Tanzania bara yazidi kuwa Tanzagiza

    Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro...
  11. M

    Je, leo ni uhuru wa Tanzania Bara au Tanganyika?

    Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA Nchi ambayo Binafsi Siijui ipo wapi inapatikana wapi ina ardhi ya ukubwa gani inapakana na Nchi ipi na...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete...
  13. Erythrocyte

    Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  14. H

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  15. OLS

    Njombe ilinyofolewa kutoka Iringa leo ina watu wachache kuliko mikoa yote Tanzania Bara

    Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni pamoja na Songwe, Katavi, Geita na Njombe. Leo nimeangalia mkoa wenye watu wachache nchini Tanzania...
  16. BARD AI

    46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
  17. C

    Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  18. Tlaatlaah

    Tetesi: Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK-JMT) yanukia Tanzania Bara

    Wanajamvi Salam, Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya. Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi...
  19. Suley2019

    SI KWELI Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kuwasajili Wachezaji wa Tanzania bara kama Wageni

    Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
Back
Top Bottom