Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee
Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake.
Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu .
Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka
Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu
they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.
Karibuni Sana
Mungu awabariki note.
Habari wakuu
Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi .
Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!!
Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho.
*******************
Yohana 1:1-5
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
NENO
Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
Happy Sunday My Friends
Mada yangu
Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda.
Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa?
Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini.
Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya kumuelekea...
Scenario
Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri".
Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?"
Flash back
Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao.
Lakini...
Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi.
Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension!
Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
Wajanja wa kutafuta connection wameanza kumtumia mwamba wa mitikasi huku wakiamini unganiko lao na yeye ndiyo njia sahihi ya kupata chochote kitu kwa kipindi hiki.
Mwamba alizimwa lakini sasa kaamka!
Mikutano na warsha nyingi zinamhitaji.Mialiko zaidi ya 20+ kwa siku imekuwa ikimngoja na kwalo...
Ibada za pasaka zinaendelea; kwaya mbalimbali zinatumbuiza. Nimeenda kwenye kanisa mojawapo kusali naomba nisilitaje jina.
Waimbaji wananengua na kucheza mithili ya ngoma za kienyeji na kidunia.
Wengine wananengua miuno kabisa.
Sasa huku ni kumsifu Mungu kweli?
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...