lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania JE NI LINI SERIKALI IMEANZA PROJECT YA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- " Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa nchi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania [OMBI KWA SERIKALI] TEMDO, CAMARTEC na SIDO: Ahadi ya Kuunganishwa Imefikia Wapi na Itakamilika Lini?

    Kwa heshima na kwa kuzingatia umuhimu wa taasisi hizi katika maendeleo ya viwanda, teknolojia na ubunifu nchini, naomba kuwasilisha hoja hii kwa Serikali kuhusu mpango wa kuunganisha TEMDO, CAMARTEC na SIDO. Mpango huu si jambo jipya. Umekuwa ukijadiliwa na Serikali kwa miaka kadhaa...
  3. Half american

    JamiiForums Tanzania Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

    Kwema wakuu.. Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua? Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka. Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilio cha Wakazi wa Mathare 4A: Majitaka (Sewerage) yatatuumiza Wananchi hadi lini?

    Hali ya usafi na mazingira katika eneo la Mathare 4A, jijini Nairobi, imezua hofu miongoni mwa wakazi baada ya maji ya majitaka (sewage) kuvuja na kumwagika moja kwa moja karibu na mlango wa nyumba ya mkazi. Video inaonesha maji hayo machafu yakibubujika kutoka kwenye mfereji au bomba la...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mama anatoka lini heda?

    Nijuzeni nina yangu ambayo itakuwa double heda kwake je lini anatoka? Pole Mama ila lini watoka heda?
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bi Fatma Karume aliyefariki dunia, Septemba 21, 2026 anazikwa lini?

    Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini? Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo atarudi lini ?

    Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
  10. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Tutalalamika mpaka lini?

    Morning wana JF Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo 1. Tumeongea sana tukiomba maboresho ya Katiba 2. Tumezungumza sana kuhusu kupitiwa upya kwa suala la Muungano 3. Tumezungumza kuhusu Mahakama na utendaji kazi wake (Mpaka...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba atastaafu lini?

    Kumbu kumbu za Wikipedia zinaonesha Jaji Joseph Sinde Warioba alizaliwa mwaka 1940, kwa sasa ana miaka 86, lakini amekua active kwenye siasa kama kijana aliyoko katika umri wa 30’s Mzee huyu pia amekaidi ushauri wa Madaktari ya kupata mda mwingi wa Kupumzika na badala yake amechagua kuwa Active...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

    Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu. Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  15. Abdulziad

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ahadi ya mkopo wa Tsh. Bilioni 2 kwa watengeneza maudhui(Content Creators), tutasubiri hadi lini? Hakuna mrejesho

    Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuongeza kipato kupitia majukwaa ya kidijitali. Makonda...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

    KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa? Hii ni moja ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?

    Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru? https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Lini Maisha Yaliwahi Kuwa Rahisi?🤔

    Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo 1: less wanyika...
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Je, wakati (time) una mwisho au ulianza lini?

    Nimesoma Big bang ila sjapata majibu.
Back
Top Bottom